Mara kwa mara huwa nazungumzia mambo yanayohusu:
โข Community Development
โข Self-Improvement
โข Entrepreneurship
Lakini leo nataka nizungumzie kitu tofauti kidogo.
Kitu ambacho kinaweza kutusaidia sana hasa sisi tunao struggle kujenga na kukuza account zetu.
Thread ๐งต๐
@CFC_Boey@AmaniIssa179340 Unajua team kristofa mmechanganyikiwa. Unapiamua kuzungumzia kipengele kimoja (magoli), team Messi tuna vipengele zaidi ya 5 vya kuzungumzia.
1. Messi anaongoza kwa magoli world cup 2026 (19)
2. Messi anaongoza kwa assist
3. Messi ana performance bora kuliko krisofer....
Waziri hajui kuwa watu wa Kigoma, kwa mfano, hawajapewa NIDA kwa kiwango kikubwa? Wasipate huduma za malazi? Wajibu wa Serikali ni kulinda mipaka watu wabaya wasiingie, sio kusumbua raia wanaohitaji malazi katika shughuli zao.