@ThomzJoseph@JackRthythm Me niliuliza yan aone sehmu ya kumpa awasaidie asimpe, kwan yeye hataki ushindi? Hawa waga wana weak excuse kama kutuambia mchezaj bora mpaka acheze EPL
@samz__23 Washabiki wa Ronaldo akili hamnaga, ukitaka kujua hilo juzi walikua wanasifu wachezaji wa Ureno kuanzia jana wanawasema eti hawampambanii jamaa wakati mwenyew ndo yuko ovyo