@Mudimabiriani Ila bro mudi nachojua mim ukiamua kufany kitu hasa haya ya kutoa misaada lazima watatokea watu wenye negative mindset na nahis ulikua ready kwa hili ukiamini wapo watakuja ili kukupinga, so it's better ukafanya kilichobora as long as sio tapeli. Wengin tuna shida kweli 🙏