@Alex_KombaJr@NicovinsTz@Dume_Jeuri__ SIJUI kama kuna mtu anasema jamaa hajui mpira ila shda inaanza wanapoanza kumfananisha na pedri,huku wanacheza position mbili tofauti af hta kiuchezaji hawafanani
@mtera_lucas@Danny_metatron WC kaanza game 4 out of 7kwenye club yake pia anaanza, Merino??hta Euro pia alkua anaanza vzury mpaka alipopata injury mbaya game ya ujerumani ndo Fabian akaanza kuzima
@mtera_lucas@Danny_metatron Kamzd almost kila kitu ball controlling, vision, dribbling merino n game changer lkn sio mchezaji wa kuanza kwenye timu angekuwa na uwezo wa kuanza pale aseno angekuwa anaanza same to national team,coach sio MWEHU kumuweka benchi