@mdudenyagali Kiukweli mpka baingia mwaka was 2025 nimeshatambuwa kuwa kumbe CHADEMA inaviongozi shupavu wachache Sana bila kukusahau MDUDE Unaujasiri na unauchungu na taifa lako . Furahia mwaka moya kaka.
@mdudenyagali Brother kwangu Mimi mkereketwatu na niliejaa Imani ya chama , lisu kanipa mwanga kuweza kuona na kutambuwa juwa kumbe ndani ya chama Kuna mapandikizi na tuliyaamini Sana katika harakati. Na ndiyo yanaenda kutuondoa imani, yanapewa nguvu na serikali .
@mdudechadematz Hii Tania ya engua wagombea was upimzan tutaivumilia mpaka Lin na viongozi wetu wapo na wakienda kwwnye vikao na serikali wanakuwa wapole lakin mwisho was siku maumivu yanakuja kwetu kwa sababu huwa tunapimwa ufikiria wetu daaaaah inajma sana na inatia hasira
“Nchi ambayo ilikuwa inakimbiliwa na kila mtu kuja kujifunza siasa safi, sasa hivi zipo nchi zinakuja kujifunza siasa chafu. Kuna nchi moja imejifunza juzi siasa zetu chafu tulizozifanya 2020, tunavyoongea hapa sasa hivi wanauana, walikuja wakajifunza hapa, na mwaka huu pia walikuja. Tuliwafundisha siasa safi wakawa wana uvumilivu lakini juzi tukawafundisha siasa chafu; namna ya kuwashughulikia wapinzani, wamewashughilikia wapinzani na hali ni mbaya kule”- Padre Dkt. Charles Kitima, Katibu Mkuu wa Baraza La Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC).
Mke na mume walifikia maamuzi ya pamoja kujiua (committing suicide) baada ya kupitia katika nyakati ngumu za maisha yao pamoja. Hivyo wakaamua kujirusha kutoka juu ya jengo lenye ghorofa 20.
Wakati wamefika juu ya jengo hilo refu, pamoja wakakubaliana kuhesabu 1 hadi 3 na waruke. Walipofika kwenye tatu wakati wa kuhesabu, mwanamke alijirusha lakini mwanaume alibaki amesimama.
Mwanaume akiendelea kumshuhudia mwanamke wake akiporomoka kwa kasi kwenda chini, ghafla akashuhudia mwanamke yule akifungua ‘parachute’ na kutua chini salama (safe landing) kama mwanajeshi
Swali; nani alimsaliti mwenzake; mwanaume au mwanamke?
@IAMartin_ Hivi wagombea kuenguliwa bila sababu ata kuwaburuta mahakaman waliofanya hivo Napo imeshindikana ? Tuambiane ili Kama kususia uchaguzi tujue mapema maana inaleta hasira kiasi Cha kutaman Bora nisingekuwepo duniani ili haya nisiyasikie Wala kuyaona
Please the international community stop funding the government of Samia, why have we written to you and are you still funding? What is the difference with those who sponsor terrorists? Today Samia has shot down the internet and has arrested Tundu and beaten and 1,000 others.
Ni VEMA Jeshi la Polisi LIKAJIEPUSHA na SIASA. Kuwakamata wafuasi wa CHADEMA ambao wapo kwenye RATIBA zao za KISIASA, ni jambo LISILOKUBALIKA KISHERIA.