Never doubt that a small group of thoughtful, concerned citizens can change the world. Indeed it is the only thing that ever has. 🤜
Keep Children safe...!!
#Tanzania
Gospel artist Sifa Bujune in Mbeya has been detained since Sept 13 and the police have failed to produce her in court
Her alleged crime 👉🏽singing a song titled “mnatuona nyani” (you think we are monkeys)
The song is critical of @SuluhuSamia regime’s brutal eviction of the Maasai and other injustices
There’s no freedom of expression or “reforms” under Samia Suluhu - it’s more of the same
Cc @VP@KGeorgieva @PowerUSAID tell your “friend” to #FreeSifaBujune
Ni MUHIMU sana ikafahamika kwamba BANDARI ni MALI za watanzania. Zimebaki siku 19 ili WANANCHI ambao ndiyo wenye MAMLAKA kwenye nchi hii chini ya ibara ya 8 ya KATIBA, WAIWAJIBISHE Serikali kuhusu MKATABA WA BANDARI. Ifahamike kwamba MAANDAMANO SIYO UHAINI wala UHUJUMU UCHUMI.
#Tanzania#EnforcedDisappearance
🆘Mji wa Katoro, Geita ‼️
Ndugu tokea April 5 walikamatwa hadi leo hawajulikani walipo!
Mkuu wa mkoa eti hafahamu - si afuatilie? Ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama - anatakiwa kuwajibika!
Mliosema @SuluhuSamia ana nafuu kiko wapi?
Hii ni kiboko walah
Yale mambo ya Mramba mtakula nyasi tununue ndege
halafu kuna watu wanafananisha huyu na makonda, pamoja na ujinga wake Makonda alikuwa anajicha kuonyesha ujinga wa namna hii
Ndio shida ya ngono kuwa nyingi serikalini
Shid ya NIDA ni nini? ni mashine au wafanyakazi? kama ni mashine tumeshindwa nunua mpya au kukodisha machine yenye nguvu zaidi ? au ku print hata nje ya nchi kadi zikaja kuwa activated nchini?
Inakuwaje mtu akasubiria kupata NIDA kwa 2yrs? kama ni issue ya Staff iwe 24hrs service
Majukumu ya DC yameainishwa kwenye Sheria ya Tawala za Mikoa (The Regional Administration Act, 1997). Hakuna kifungu kinachosema DC atashughulika na mambo ya Kichama. Hiyo ni kazi ya Mwenyekiti wa chama ngazi ya Wilaya na Katibu wake. DC ni nyadhifa ya Kiserikali sio ya Kichama.
Kama Raia wanarudisha kadi za chama maana yake wamepoteza imani na Chama & Serikali kwa ujumla, maamuzi ambayo DC hawezi kuwazuia wananchi kuyafanya.
Ushauri; ni vyema shughuli za Chama zisihusishwe na zile za Kiserikali. #BabaMwita
BREAKING: Tumedokezwa kwamba Mh. Mbowe na Lissu wanaweza kukamatwa muda wowote. Sababu kubwa ni DP World. Dr. Slaa, Mwabukusi, Madeleka, Mdude Nyagali wako mikononi mwa polisi. Dr. Nshala yupo EXILE. Samia usiwatese Watanganyika kwa maslahi ya Waarabu. Angalia Afrika Magharibi.
@DrCyrilo This govt is wicked. Where does it get that legitimacy of arresting a person who said that he will appeal the case that he believes that there was injustice? Let the govt know that arresting Mwabukusi is just like arresting the Tanzanians who voted for you.
“Hakuna cha kutetea kuwa Rais anashauriwa vibaya na watu wanaomzunguka si kweli Rais mwenyewe anajua anachofanya dhumuni lake ni kuwaangamiza Watanzania” — @gwangwayyohani#KatibaMpya#WenyeNchiWananchi VIDEO : https://t.co/rI02f26LJz
Makamanda People's
M/Mwenyekiti Chadema Taifa Mh @TunduALissu atawasili leo saa 6:00 mchana
Pamoja na ratiba zingine ataitikia wito Ofisi ya DCI
Makamanda wote kwa UMOJA wetu tusindikize kiongozi wetu
Hakuna kulala mpaka kielewekee
#WenyeNchiWananchi#255OkoaBandariZetu
‼️🚨#Tanzania
New ICSID case 🤦🏽♀️
This time an island resort in Zanzibar where the govt of Znz terminated lease of the British investor
Haya madudu tutakuja kulipa sisi
Alafu hii deni tunaambiwa ni ya Tanzania siyo Zanzibar - ama? 🤨
Chako chetu, changu ni changu!
#TutaelewanaTu
Amkeniiii by
@naythetrueboy 👊🏽
Nay wa Mitego doing the Lord’s work 😅 in #Tanzania
🔥“Nchi inaendeshwa kimagendo”
☹️“Mwisho wa wimbo huu mtaniita mchochezi”
😅“Mama analea wezi, ndo anafuga wezi”
💥“Bandari mkamwuzia mwarabu na mkataba ni wa milele”
https://t.co/IQ1Xt0AkMT
Rais @SuluhuSamia aliitwa Kenya, akasuluhishe mgogoro wa @RailaOdinga na @WilliamsRuto akatunzwa Kenya kwa siku mbili, Ruto hakutokea, Samia akarudi TZ. Tunapata maswali, kwanini umma haukujulishwa? Safari za Rais ni siri? Pili, Ruto hakutokea wakati alimuita, ana mdharau SSH?
Butiku : Katika sakata hili la bandari, wabunge inabidi wawe na uhakika kuwa wamewaelewa watanzania na wananchi tuwe na uhakika kuwa wabunge wameelewa tulichowatuma na wamekizingatia. Kwa kusikiliza mazungumzo inaonekana hatujaelewana. #OkoaBandari#WenyeNchiWananchi