Build a Strong Relationship to The Happy Marriage💍
AID'S KILL'S MANY DREAMS Mapenzi ya Kweli+Mahusiano Salama=
Ndoa Yenye Furaha na Amani.
PIMA, JITAMBUE,ISHI:
Kama upo kwenye ndoa kwa miaka 15 / 30 sasa.
Tafadhali hebu share na sisi story yako japo kwa ufupi hapa na tutakutafuta for more details
Maana wengine mbona hawatoboi hata miaka 2 jamani
TUMIA PESA ZA WENGINE KUJIPATIA FEDHA.
Other People's Money(OPM)
REAL ESTATE 🔥
Nitatumia leverage, imetokana na neno lever kwamba nyenzo.
Pesa za wengine ziwe Kama Daraja 🤓, kwenye mafanikio yako.
Uzi 🧵🧵
Happy Africa Day! 🌍Thank you to the people of this continent for your positive energy and inspiration. Together, we can keep empowering Africa's tomorrow together, one story at a time. #AfricaDay
Huyu mwamba kapigana vita vingi sana
Alianza na Bob junior kuhusu jina la WASAFI
Akaanza kupigana na mashabiki wa Wema sepetu baada ya kumtema
Hajakaa sawa akaanza vita na mawingu media akamua kufungua Wasafi media.
Mda huu ana vita ingine na EFM😁
Je ni vita ipi nimeisahau hapo ya simba🦁🧠
USIWE MPUMBAVU KESHO UKAFANYA KAMA JUZI
Next time don't do the same sh*t
1.Hakuna anayejua kila kitu, MPUMBAVU ndiye anajua kila kitu
2. Ikiwa unashindwa kuamua, basi jibu ni HAPANA (No!)
3. Mtu ambaye hafanyi MAKOSA ni yule ambaye hajafanya kitu chochote
Narudia tena kuweni makini na Mapenzi 💔
Jamaa pichani kamua huyo mpenzi wake kisa wivu wa mapenzi na kupost video huko Ig😪🕊️
Video ipo hapo chini kwenye comment inasikitisha sana 😪😭💔
Leo asubuhi, nlikuwa na meeting na client ofisini kwake.
Sasa wakati narudi, nikachafukwa na tumbo. Ikanilazimu niingie kwenye hotel moja kubwa pale mjini ili nipate nafuu.
Baada ya kumaliza, nilianza kutafuta sehemu ya kuflush, sikuona ikabd nisech YouTube ndo kufanikiwa 😂🙆🏾♂️
Unaweza kuyafikia malengo yako kama kasi ya mashuti ya NBC Premier League.
Jiunge na Akaunti ya NBC ya Mshahara, Malengo, Kua Nasi, NBC Direct na ushinde mechi zako za kiuchumi leo.
#ShindaMechiZakoNBC#DaimaKaribuNawe
MWANAUME SOMA HII
HATIA V ~ Masculinity Song
Ya mkali wa Hip-hop @dizastavina
Uzi 🧵
Uanaume sio ushindi ni jukumu...!
Uanaume sio rizki ni hukumu....!
#Muscularfeminist
Usidhani Hawaoni Unachokifanya.
Wanakufatilia Kimya Kimya na Wanahitaji Kujifunza Mengi tu,Kutoka Kwako.
Wakati wa MUNGU ni Wakati Sahihi Kazi na Sala.🙏
Keep on Pushing 💪
Envisioning the Future of Real Estate:
Exploring Trends and Anticipating Impacts...|
The real estate industry has always been dynamic, constantly adapting to societal, economic, and technological changes.
⬇️
Hey Tech guys!! Now mmefikiwa 😂😂
Listen! Unahangaika kutafuta kazi mpaka umeenda kwenye Shule ili upate kazi ya kufundisha wanafunzi issues za IT.
Usiende kuomba kazi my dear brothers and sisters. Badala yake katengeneze nafasi ya kupewa kitengo cha heshima cha IT
Kivipi 👇🏾
Umeanzisha Biashara kuanzia mtaji wa Tsh laki 1 na ukapambana nayo mpaka ukifanikiwa kufikia cash flow za mamilioni na kuendelea.
Kisha, ghafla ukashangaa Kuna janga likakukumba na kujuyumbisha mpaka kujikuta umepoteza pesa yote. Hata BUKU unaomba kwenye simu.
ELEWA MAMBO HAYA
Juzi Ruto alipiga bonge moja la hotuba mbele ya Viongozi huko Afrika Kusini na Ukumbi Mzima Ukasimama Kumpigia Makofi. Ruto alisema hakuna chochote ambacho Afrika Inapata zaidi tu ya Kupiga picha, pale ambapo Viongozi 54 wa Afrika wanaitwa Kwenye Mkutano na Mataifa Makubwa ya Nje
Kumbuka.
Uwakala wa Mali Isiyohamishika Sio Njia ya Mkato ya Mafanikio.
Unahitaji Uvumilivu, Kujifunza Skills Tofauti na Kufanyia Kazi Unachojifunza.
Niandikie Neno-
"Nataka Kujifunza"
WhatsApp 📱 076114961
Nikutumie Kitabu Kidogo Bure
Mwisho wa Ofa Hii Ni Kesho Saa 6 Usiku