@RevocatusMagum1 Kwamba hayo makubaliano yalikuwa ya mdomo?...kama yako documented hao viongozi wapyaa hawakupewa file za mipango ya club?....Viongozi wenu janja janja sana
@BMushison Ooohh kumbee,,,,,lakni pia kuna zile Bodi za kutundika vichumaa...kuna hizi mpya naziona saivii lakini pia kuna zile za zamani za kuslide zipi ziko affordable