Mzee wangu aliwahi kufukuza maza home mama alitumabia me na wadogo zangu tuondoke me niligoma kuondoka nikasema nabaki hapa hapa nyumbani mama alinimind sana.
@Thereal_taivina Polee sana familia, mungu apewe sifa next time jifunze kukagua gari mala kwa mala kabla ya kuondoka , mungu amekuokoa kwa kusudi lake maalumu
Maisha ni mafupi sana nimepanda bas kutoka singida nikielekea mwanza, nikamkuta mwana tupo nae seat moja nikampa hai fresh, story mbili tatu akanijuza anashukia Ziba na Mimi nikamjuza nashukia Mwanza, tunafika Ziba mwana yupo kimya tu, ikabidi nkaushe kufika Nzega mwana yupo