@mangekimambi@MariaSTsehai@JohnPau23313228 Dada naomba unifikishie ujumbe kwa dada Maria anitoe kwenye block....kumwambia Lissu yupo salama sikutaka kupinga hoja yake ila nilikua nina imani yupo salama coz dunia nzima inamfuatilia so kuwa salama ni wajibu wa serikali sio sisi ambao hatupo nae. Ahsante
@MwananchiNews Huenda ikawa mwanasheria upo right, ila kipengele cha kuwa na bunge hilo ni kigezo tosha kuweka doubt juu ya kilichojiri na chochote baada ya kuwa na hilo bunge tukufu.....Naomba kuwasilisha
@smkami Mmmmh ukiangalia ni kama walipangwa kimkakati kuja kukikana chama cha CHAUMA hadharani kwa malengo mahususi wanayowajua wao....ila sio bure na huenda sio hata wanachama wa CHAUMA wala CHADEMA hao wote