@Kiganyi_ Nadhani uko Tanga. Arusha hakuna Mbu. Pili hakuna Guest house ya 40,000/- ni kuanzia 15,000/ hadi 30,000/- na zina standard ya juu kuliko chochote kilichopo Dar-es-salaam.
Kwa 40,000/- hapo unapata hoteli yenye hadhi kuliko hoteli uchwara za Dar
@DeoMunishi Kuna hadithi imetungwa huku Arusha eti wale vijana walioandamana tarehe 29 October wameanza kufa wenyewe. Inasambazwa na vi online vya kijinga Arusha
@godbless_lema Kuna hadithi imetungwa huku Arusha eti wale vijana walioandamana tarehe 29 October wameanza kufa wenyewe. Inasambazwa na vi online vya kijinga Arusha kwa malipo hafifu
@TheRealJongwe Kuna hadithi imetungwa huku Arusha eti wale vijana walioandamana tarehe 29 October wameanza kufa wenyewe. Inasambazwa na vi online vya kijinga Arusha