Universe is a single word with two separate parts Uni- Single/One and Verse - a song meaning that in this universe everyone of us has that Single song to sing for the rest of his or her life and this is what we call a purpose, Find that song and sing it for the rest of your life
@Sirjeff_D Ushoga pia Huwa unaanza hivi hivi kwa kukosa common sense, mtoto wa 94 unamjadili rais wa nchi kwa kumkosea heshima, hii ndo shida ya kufikiri Kwa kutumia makalio. Wewe ni hasara kwa taifa.
Habari!! Nakuja tena kwenu.
Asanteni sana kwa muitikio wenu mkubwa kuhusu wazo langu la jana la kufanya #Fundraising kwa Msanii Nay wa Mitego.
@naythetrueboy
Naomba tumchangie chochote kile iwe kama ishara ya kum-support, kumfuta jasho, na zaidi kumtia moyo kwa kazi kubwa na ya ujasiri anayoifanya, ya kupaza sauti zetu, kutetea haki zetu, kuongelea changamoto zetu kupitia sanaa na muziki wake!!
Nay anayafanya haya katika
kipindi ambacho wasanii wengi wako kimya kuyasema matatizo yanayoikumba jamii yetu.
Basi tusimvunje moyo, tumuonyeshe kuwa tunatambua mchango wake huu mkubwa, na hii itampa nguvu zaidi aendelee kutusemea wananchi.
Tunashukuru kwa kustream muziki wake kwenye digital platforms, tunashukuru kwa kwenda kwenye show zake, tunatambua hali zenu kiuchumi zilivyo, Lakini kwa kidogo utakachojaaliwa kitume
kwa kijana huyu na Mungu atakubariki sana.
Utaratibu wa kutuma fedha nimekuwekea hapo juu kwenye poster, nambari za simu, majina na akaunti ya bank
(TCB - Tanzania Commercial Bank)
Hakikisha jina linasoma Emanuel Elibariki. na ndio jina halisi la kijana wetu Nay wa Mitego @naythetrueboy na atapokea moja kwa moja ulichomtumia.
Twendeni tukaionyeshe nguvu ya uma ilivyo kubwa.
Na kwa kufanya hivi tutafikisha ujumbe kuwa tumechoka na hatupendi wala hatubariki mabaya na machafu yanayoendelea kwenye ardhi yetu.
Share uwezavyo ujumbe huu ufike mbali!!
Lets go brothers & sisters โฅ๏ธ๐