Watanzania, msidhani kama Mwananchi wamechapisha hii bahati mbaya. Hiyo heading tu iliyotumika inakwambia kila kitu, eti Chaumma inapambana na Chadema kwenye michango, Kha!!! Hao CCM tu hawana ushawawishi wa kupambana na Chadema kwenye kukusanya michango unless michango ya wale matajiri wao wanaonyonya nao nchi ndio Chaumma waweze??? stupid kabisa. Yani hii posti tu ilivyowekwa inakwambia kila kitu. Hii ni project ya Samia na Kikwete kupiga marufuku michango ya Watanzania kwa Chadema.
Hakuna mtu anaechangia Chaumma, sidhani kama hata wamekusanya laki. Chaumma wanafanya kazi ya CCM ili CCM watakapopiga marufuku michango ya wananchi kwa vyama vya siasa ionekane kama hawakuwalenga Chadema.
Ila point nzima ni CCM wanajaribu kukata connection kati ya Watanzania na Chadema ndio maana wamekataza mikutano ya hadhara na sasa wanaenda kupiga ban michango ya wananchi kwa Chadema.
Watanzania msiogope, huu unyanyasaji ya uminywaji haki utaisha. Cha msingi hakuna kurudi nyuma tuendelee kupambana.
Hi guys, I’m sorry, sikujua kuwa kuna official channel Chadema wameweka kwa ajili ya kupokea pesa za Diaspora.
Naomba Diaspora mtupilie mbali lile tangazo langu la jana.
Sio kama nilitaka kujiamulia mambo ni vile sikujua kuna official channel tayari Chadema wame establish kwa ajili ya Diaspora so I thought I was helping.
diaspora mnaoona shida kutuma wenyewe moja kwa moja tuonane na kaka Libe @Liberatus80 .
Ila nilishapokea $200 kutoka kwa watu 3 na ndio hizo nimewatumia Chadema sasa hivi.
#BBCAfricaEye profiles Tanzanian opposition leader Tundu Lissu, who has spent more than a year in prison on treason charges for which he could face the death penalty.
He survived an assassination attempt in 2017 when he was shot 16 times.
🎥 Full film: https://t.co/WRWXi1oWur
@SuluhuSamia Mhe Rais naendelea kushauri kwa dhati Tundu Lissu aachiwe huru kwani kesi haikamiliki. Hekima na busara iliyokufanya kutangaza sera ya 4Rs mara ulipoingia madarakani ikuongoze tena katika jambo hili. Simulizi hizi za kutisha za vyombo vya habari vya kimataifa, zinaibua hisia kali hasa kwa vijana, hata wazee tumekumbushwa kadhia ya operation Sogeza iliyounda vijiji vya ujamaa 1974 -1976. Taarifa hizi zinaathiri kikubwa taswira ya taifa letu na maslahi yake. Athari ni kubwa. Tutafute muafaka kupitia uwajibikaji na maridhiano. Tuwe na hofu ya Mungu na kutambua miujiza yake mfano wa risasi 16 kushindwa kukomesha uhai ingawa maumivu ni makubwa. Tutubu na kusali kuliombea taifa letu kila mtu kwa imani yake.
‼️INYATA YAVURUGA CCM - RIDHWANI ATUHUMIWA KUWANIA 2030‼️
Msione tunafokewa mambo ya Katiba Mpya kumbe huko ndani wanapigana vikumbo kujipanga na 2030! Sasa inaonekana kaongezeka na kijana wa wanamtandao na sasa watu wananoa visu wamalizane!
INYATA hii movement inayosemekana imetokana na TK movement na UVCCM na wameandaliwa waanze kazi ya kumfagilia na kumpigia debe Ridhwani!
Hata sishangai maana nakumbuka @godbless_lema alituambia kwenye #MariaSpaces kuwa baada ya Magufuli kuzikwa waliitana ma-dynasty wakasema wasikubali tena mtu wa nje ya dynasties zao kushika urais kama Magufuli! So hii taarifa naona ni plausible pamoja na kuwa mtoa taarifa ni mwanaCCM mkereketwa huko ndani!
Hawa tukisubiri waondoke wenyewe tutasubiri sana- they are here to stay and EAT kwa ukoo! Ndo maana mnaona wanampambania kimama maana wananufaika na wao!
Ndo maana wakisikia Katiba Mpya wanatoa povu la ajabu 🙄
Ila ndo muda wao umeisha hawajajua tu!
Watanzania tunataka mabadiliko! Wajishikilie!
#TutaelewanaTu
https://t.co/W9MTPCL0Cf
Asante @grok
This is one of the most consequential documentaries ever in the history of Tanzania
The Content, the timing and the person (Tundu Lissu) - this combination is rare and the timing is perfect
#FreeTunduLissu
Makonda ukimtaja ni kama umemtaja shetani 🤣🤣
Eee basi basi!
Leo ndo wamejua watanganyika tukiamua hatutetereki!
Serikali haramu imekataliwa LIVE 🔥
Ndo nasema #TutaelewanaTu
🚨LEO TUNAAMKA NA HABARI KUBWA ANZA KWA KUREPOST.
COMMONWEALTH MINISTERIAL ACTION GROUP
WAMETOA RATIBA YA HATUA ZA UTEKELEZAJI KWA TANZANIA NDANI YA SIKU 30, 60 NA 90
Pamoja na mambo mengine Serikali haram ya Nduli Idd Amin Mama imepewa siku 30 iwe imetatua suala la kuzuiliwa kwa Mhe. @TunduALissu kupitia njia ya kisiasa na kisheria lakini pia kuwaachilia huru watu wengine wote wanaoshikiliwa kwa sababu tu ya kutumia haki zao za msingi kwa njia ya amani.
Ndani ya siku 60 wameambiwa warejeshe upatikanaji kamili wa majukwaa ya kidijitali (digital platforms) kusitisha vitendo vya vitisho na unyanyasaji dhidi ya vyombo vya habari na watetezi wa uhuru wa kujieleza.
Ndani ya siku 90 wahakikishe waitishe jukwaa la kuaminika na shirikishi la mashauriano kati ya vyama vya siasa, likiwa na wawezeshaji wasioegemea upande wowote yani Jukwaa hilo liwe na mamlaka ya kujadili na kukubaliana kuhusu marekebisho ya mfumo wa uchaguzi, ushindani wa kisiasa, suala la watu waliowekwa kizuizini na uwajibikaji.
Lakini pia wametoa Onyo la Septemba 2026 kwamba Tanzania imeamriwa kuwasilisha ripoti ya utekelezaji wa mambo hayo kabla ya mkutano maalum utakaofanyika Septemba 2026.
Onyo la Novemba 2026 (Hatua Kali): Jumuiya ya Madola imetoa onyo la mwisho kwamba isipoona maendeleo yoyote kufikia Novemba 2026, itachukua hatua kali zaidi dhidi ya Tanzania (ambayo kwa sasa tayari ipo chini ya uangalizi kwenye Agenda Rasmi
Acha kuendelee kuwaka.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Good Job Watanzania, wow wow wow.
Hongereni Watanzania maana zamani hata kuwazomea hivi CCM tulikuwa tunaogopa ila sasa hivi hatuwaogopi tena hawa wauwaji na machawa wao.
Watanzania, video kama hizi zinatutia moyo wanaharakati wenu tuendelee kupambana kwa niaba yenu. Yani mimi personally nimeangalia video hii nikajiambia, it’s worth it kupigania nchi yangu, Acha ma cartel waje kuniua ila napigania watu ambao wako tayari kujipigania…..,
Mmejua kunipa raha mchana huu.
@tedcruz@SenatorShaheen@Europarl_EN This is the reality in Tanzania: the people have rejected Samia Suluhu and her regime. The moment her government was mentioned, the crowd erupted in boos. The minister wasn’t even given the chance to finish his sentence.
The only reason CCM remains in power is through killings, fear and force. Tanzanians are being held hostage at gunpoint, not governed with the consent of the people.
Kimenukaaaaa, wauwaji hawana pa kupumulia, nje ya nchi wamekaliwa kooni, ndani ya nchi wamekaliwa kooni.
Watanzania haki itapatikana, one way or another cha msingi hakuna kukata tamaa na hakuna kurudi nyuma……
. @tedcruz@SenatorShaheen@Europarl_EN@UN
Please don’t fall for this so-called “reconciliation.” There has been no reconciliation in Tanzania.
ACT Wazalendo was formed by former President Jakaya Kikwete to weaken the country’s main opposition party, @ChademaTZ2. In Tanzania, people even refer to ACT Wazalendo as “CCM B” because it is seen by every Tanzanian as an extension of the ruling CCM rather than a true opposition party.
In fact, ACT Wazalendo participated in the October 29 election. So what exactly are they claiming to be reconciling? These two parties have long worked closely together.
You will not find a single Tanzanian who considers ACT Wazalendo a genuine opposition party. It is viewed as a political vehicle used by CCM to divide and weaken the real opposition.
SWAHILI
@tedcruz@SFRCdems@SenateForeign@SenatorShaheen
Tafadhali msidanganywe na hiki kinachoitwa “maridhiano.”. Hakuna maridhiano yaliyofanyoka Tanzania.
Chama cha ACT Wazalendo kilianzishwa na Rais wa zamani Jakaya Kikwete kwa lengo la kudhoofisha chama kikuu cha upinzani, @ChademaTZ2. Nchini Tanzania, wengi hukiita ACT Wazalendo “CCM B” kwa sababu kinaonekana kuwa ni mwendelezo wa CCM badala ya kuwa chama halisi cha upinzani.
Isitoshe, ACT Wazalendo kilishiriki uchaguzi wa Oktoba 29. Kwa hiyo, wanapatanishwa kuhusu nini hasa? Vyama hivi viwili vimekuwa vikifanya kazi kwa ukaribu kwa muda mrefu.
Utapata ugumu sana kumpata Mtanzania anayekiona ACT Wazalendo kama chama cha kweli cha upinzani. Watanzania wengi hukiangalia chama cha ACT Wazalendo kama chama kinachotumiwa na CCM kugawa na kudhoofisha upinzani wa kweli.
Maridhiano kabla ya uchaguzi sio udhaifu. Maridhiano baada ya uchaguzi ni udhaifu na upumbavu wa kiwango cha juu na lazma Watanganyika tukatae kufanywa wadhaifu na watu waliouwa ndugu zetu October 29…..
Watanzania @HecheJohn na @TunduALissu wanatuhitaji kupita kiasi.
Heche anapigwa vita sababu kuna viongozi ndani ya Chadema wamefika bei ya maridhiano na CCM so wanajaribu kumuondoa Heche ili waweke mtu ambae atafanya maridhiano..
What you see in this video is the reason political rallies have now been banned in Tanzania. The opposition’s rallies were growing larger with each passing day. Not only were they drawing massive crowds, but people attending the rallies were also voluntarily donating money to support the opposition.
It was a clear and powerful rebuke of Samia Suluhu’s regime by the people of Tanzania.
@POTUS@SenTedCruz@SenatorShaheen@SenateForeign@SFRCdems
About 10 minutes ago, two people, a man and a woman, showed up at my house. They knocked for several minutes. At first, I didn’t answer, hoping they would eventually leave. Instead, they kept knocking louder and louder.
Because I know my life is in danger and I’m home alone right now, I decided not to even go near the door or look through the peephole. My husband has always told me not to do that. He said if someone came to kill me, they could shoot me through the door if they knew I was standing there.
So I stayed well away from the door and asked what they wanted. They said they were looking for someone named Louis. I told them no one by that name lives here. They then asked me to open the door because they couldn’t hear me properly. I refused and told them they could speak from where they were.
The moment I said that, they started walking away. I immediately ran upstairs and recorded them from my balcony.
The woman did all the talking. The man didn’t say a word.
As I have informed you all before, the Tanzanian government has commissioned Mexican cartels to kill me. Today, while I was home alone, two Mexicans showed up at my front door.
Everything is being forwarded to the FBI.
If anything happens to me, this is where the investigation should begin.
I think the time has come for me to put away my fear of guns and buy one. Hopefully this week I find the courage to own one.
KISWAHILI
Takribani dakika 10 zilizopita, watu wawili, mwanamume na mwanamke, walifika nyumbani kwangu. Waligonga mlango kwa dakika kadhaa. Mwanzoni sikuitika, nikitumaini kwamba wangeondoka. Badala yake, waliendelea kugonga kwa nguvu zaidi na zaidi.
Kwa sababu ninajua maisha yangu yako hatarini na kwa sasa niko peke yangu nyumbani, niliamua kutosogea hata karibu na mlango wala kutazama kupitia tundu la mlango. Mume wangu amekuwa akiniambia kila mara nisifanye hivyo. Aliniambia kwamba kama kuna mtu amekuja kuniua, anaweza kunipiga risasi kupitia mlangoni akijua nimesimama nyuma ya mlango.
Kwa hiyo nilibaki mbali na mlango na kuwauliza wanataka nini. Walisema wanamtafuta mtu anayeitwa Louis. Nikawaambia hakuna mtu wa jina hilo anayeishi hapa. Kisha wakaniomba nifungue mlango wakidai hawawezi kunisikia vizuri. Nilikataa na nikawaambia wazungumze wakiwa waliposimama.
Mara tu niliposema hivyo, walianza kuondoka. Nilikimbia haraka ghorofani na kuwarekodi kutoka kwenye roshani yangu.
Mwanamke ndiye aliyekuwa akizungumza muda wote. Mwanamume hakusema hata neno moja.
Kama nilivyowaeleza hapo awali, serikali ya Tanzania imewaajiri makundi ya wahalifu wa Mexico (Mexican cartels) ili kuniua. Leo, nikiwa peke yangu nyumbani, Wamexico wawili walifika kwenye mlango wa nyumba yangu.
Taarifa zote zinawasilishwa kwa FBI.
Ikiwa chochote kitanitokea, uchunguzi unapaswa kuanzia hapa.
Nadhani muda umefika wa mimi kuacha kuogopa silaha na sina budi kununua silaha wiki hii ili mtu akigonga tena mlangoni naenda mlangoni na bunduki.