@jwise017 Ukifika hatua ya kuamini kuwa mwanaume mwenzako anaweza kukusaidia kumlea/kumnyoosha kijana wako jua kua wewe ni Baba Msenge (a failed father)
@maestrowafact@Aruatani We nawe unajikanyaga mwenyewe
Kwenye post unasema hawaruhusiwi kuingilia then ukiiulizwa why walikuwepo barabarani unaanza story za live ammunition
@BoniphaceSyrus@INFLUENCERjr Sio nadogosha
But ukweli lazima usemwe
Hio pass ni ya kawaida sana Kwanza kulikua na space kubwa sana ya Gordon kukimbia also huyo Pedri hakuwa pressed na mtu yoyote wakati anatoa io pass
Yani ni pass basic sana ambayo kila pro anaweza kuipiga
@Happinesmlay Hama mambo ya dini ni swala la mapokeo
Kila dini/imani inakujizima akili ndani yake
Imagine kwa mtu ambae haujui ukristo alafu umwambie Kila jumapili huwa mnakutana kula nyama na damu ya bwana wenu