Kila Oda unatupa ni tofali la ujenzi wa kesho bora ya biashara yetu.
Tunathamini sana, tunazidi kuboreka siku mpaka siku.
Asante kwa kutuamini ๐๐ผ
0762344677
Wachina Huku kwao wanakuongelesha kichina hawajali unaelewa au hauelewi
Yaan utajua mwenyewe!
Hata km ukiwaonesha kuwa hauelewi wanakuongelesha tu!. @MarekaMalili
Unadhani kuna mtu anajali Hayo Maisha yako unavyoyaendesha?
Hawajali na wala hawayajui ni wewe mwenyew unajipa umuhimu na kujipotezea muda ukijaribu kujithibitisha kwao
Km unabisha fikiria watu wako wa karibu wangapi washakufa na umewasahau Maisha yanaendelea!
Ishi Maisha yako.
Inachekesha lkn Ndio Hali halisi
Shogaangu anasema Afya ya akili imemtawala๐๐
Ni watanzania wengi sana tunapitia hii situation aiseee
@MarekaMalili unaona???