Ngome ya Wanawake Taifa Jana tarehe 17/06/2022 imeendelea na zoezi la Usajili wa ACT Kiganjani katika Jimbo la Tumbatu Mkoa wa Kaskazini A Kichama.
@SalimBimani1@salimbimani2@AdoShaibu@othmasoud
Safari inaendelea
📌 SONGEA, RUVUMA
@ACTwazalendo ni familia moja inayopendana. Nikiwa na dada yangu, Ndugu Janeth Fussi ambaye alikwisha tangulia #Songea pamoja na Katibu Mkuu @AdoShaibu wakifanya kazi ya ujenzi wa Chama katika Mkoa mzima wa #Ruvuma kwa wiki nzima sasa.
#TheFutureIsPurple
Pamoja na Makamu Mwenyekiti wa @ACTwazalendo (Bara), Ndugu @SemuDorothy mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa #Songea, Mkoa wa #Ruvuma leo asubuhi kwa ajili ya ziara ya kikazi ya Chama na pia kushiriki Kongamano la kuzungumzia #TumeHuru kuelekea #KatibaMpya.
Katika Kikosi Kazi cha Rais kuhusu Demokrasia nchini Shangazi @fatma_karume ametuelimisha vya kutosha kuhusu kuheshimu Haki za Watu. Haki ni Msingi Mkuu wa TAIFA lolote
@GpixelP Sema the way mnalichukulia hilo neno Kafir its like kama tusi au mtu amekulaani, no! Maana yake ni mtu asiokua muislam. Kwa hio hata kama mimi mwafrika nikisema flani Kafir namanisha sio Mwislamu.
Sote tunahitaji Katiba Mpya.
Tofauti yetu @ACTwazalendo na wengine ni kwamba, sisi tuna njia (road map) tunayoijua na kuiamini itatufikisha kupata Katiba Mpya.
Wengine hawana njia yoyote! Hawana plan. Wanaimba na kubwabwaja tu Katiba Mpya Katiba Mpya....! Bila kusema wataipataje.
Nimepata ladha ya elimu kubwa aliyoitoa Nd. Othman Masoud Othman (OMO), Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, katika ziara zake mikoani na katika Mkutano wake na Ngome ya Wanawake. ZANZIBAR Imepata MUENDELEZI wa kuitetea. Maalim Seif amepata mrithi.
MAMLAKA KAMILI YA ZANZIBAR
Tumekusikia lakini maneno matupu hayatoshi. Actions speak louder than words! Tutakachoangalia ni vitendo, si maneno. Ukiwa mkweli kwenye vitendo, utatukuta sisi tuko hatua elfu mbele.
Na mwenye kumuuwa Muumini kwa kukusudia, basi malipo yake ni Jahannamu humo atadumu, na Mwenyezi Mungu amemkasirikia, na amemlaani, na amemuandalia adhabu kubwa.
Surah An-Nisâ': 93
OH GOD, YOU ARE SO GRACIOUS, SO FAITHFUL…We prayed, YOU answered. Victory YOU promised and victory YOU have granted! Glory be to your name!Blessed Sunday fellow citizens!