@OfficialAliKiba We ni mtu mbaya sana na hukoseagi yaani ,kwanza nyimbo zako zinaelimisha na zinaburudisha pia na sidhani km utakuja fungiwa nyimbo @OfficialAliKiba
Mtembea bure si sawa Na mkaa bure!!
Nimefika eneo Fulani nakuta jop LA watu wanabishana juu ya maana ya neno #KONKI huku wengine majibu yake yakiwa #matusi aisee ebu nisaidieni maana ya neno #konki@IdrisSultan@thomasleacko@kimange
Mhe Zitto kasema na Vyombo vya Ulinzi na Usalama vimehusishwa. Wanasiasa wa Upinzani waachwe wafanye kazi yao. Mtuhumiwa asiwe Hakimu. Serikali ijibu hoja kwa vielelezo. Ikilazimu iunde tume huru za uchunguzi. CHADEMA tutasimama na ACT. #Justice to Zitto #Justice to Opposition!