Kuna haja TISS & JWTZ itumie wanasheria wake ili kuelewa mkataba na DPW. Mkataba ni HATARI kwa Usalama wa nchi. Kuna sharti linazuia Taasisi za Serikali kuingilia shughuli za DPW isipokuwa kwa idhini ya sheria. Mmeelewa maana ya kifungu hiki! Nasisitiza Taifa liko hatarini. #B
Mie naamini mwanaume hadi akilia ni ana mengi moyoni sana.
Leo asubuhi nimepanda bajaj nauli ni 700 hadi ninaposhuka,akapanda na mkaka akamwambia dereva oya naomba nina 500,akamwambia poa.
Mwisho ya safari mkaka akatoa 1000,dereva akampa 300,mshikaji ๐๐พ
Msikilize mbunge wa ccm Bunda, alafu jiulize Nchi yetu iko salama chini ya Bunge la aina hii!!!!
Bunge linafanya ratification ya mikataba mikubwa ya Nchi na Nchi. Mikataba inayohusu uhai na uwepo wa Nchi yetu dunianiโฆ
Huyu anasema alipiga kura ya ndio kwa kitu asichokijua!
Maelfu ya Raia ( Vijana) wa Niger wajitolea kujiunga na Jesh la Mgambo.
Wazalendo hao wanawasili katika uwanja wa michezo wa mji mkuu, ambapo kikosi cha wanamgambo wa "Volunteers for the Defense of Niger" wanaundwa ili waanze kupewa mafunzo na Wagner.
Nimeambiwa kuwa WAKATOLIKI wana Salamu mpya mbili nazo ni
Ukisalimiwa SAUTI YA WATU
Unajibu NI SAUTI YA MUNGU
Ukisalimiwa TAMKO LA BARAZA LA MAASKOFU TEC
Unajibu WAKATOLIKI TUNAUNGANA NA TAMKO LA MAASKOFU WETU, HATUUNGI MKONO MKATABA WA BANDARI
Tukutane Jumapili KANISANI๐๐๐๐
Lumumba hapakaliki mziki wa @TunduALissu na @freemanmbowetz kwenye ziara Mpaka wanataka Rais atangaze siasa kusitishwa ! Yaan habaatishi kitu mtu hapa! Ona kanda ya ziwa walivyojitokeza
Mkataba wa Bandari Naleta Hoja 10 za kiuchumi katika uboreshaji. Agizo la Rais ni UBIA na faida zake lakini tumeibuka na lease agreement Why?Serikali Dubai haitoi pesa Dpw itakopa na ikilimbikiza madeni kodi inaepukika Mizigo kuwa Rwanda ni faida kwetu tukijiendesha kiubia. nkd
KAMA UNATEMBEA NA MKE WA MTU FATA MAELEKEZO YAFUATAYO NGURUWE WEWE ๐
1. Akikupigia simu pokea alafu subiri aanze kuongea yeye maana labda aliekupigia ni mumewe, kenge wewe