Binti wa Tyrese Gibson ameamua Kuishi na baba yake baada ya kufikisha umri wa miaka 18,
Uamuzi huu wa Shayla ina maana Tyrese hatolipa tena zile $10,000 kwa Mwezi kama Child support.
Katika hii SERIKALI YA WAKOLONI WEUSI ni bimkubwa GWAJIMA tuu anasimama na wananchi.
Binafsi nilikuwa nataka nianze kazi ya kudai haki za huyu BINTI aliefanyiwa ukatili na mahawala wa MWIJAKU, ndio MWIJAKU alieenda KUHIJI MAKHA na kufanya USHENZI mahali patakatifu.
Binafsi kuna kesi kadhaa nilileta kwenye meza yako na ukasaidia, hivi ndio kiongozi unatakiwa kuwa. Naamini wapiga kura wako wanajivunia kuwa na MUWAKILISHI anaetumika nchi nzima kutatua matatizo ya watanzania wengine.
#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
@ayubu_madenge Traore alimpigia salute na Jakaya alipokea kikakamavu angalia vzuri alimpa Tano na salute angalia upya broda ila nakuelewa Sana big up n keep up 🙏👊
Mufti Menk, Mwanazuoni wa Kiislamu ambaye ni raia wa Zimbabwe ila mwenye wazazi ambao asili yao ni India, yupo ramsi Zanzibar. Jana amefanya Kongamano na akaujaza uwanja wa Amani. Pia kwenye Kongamano hilo, Mufti Menk amepasifia Zanzibar na akasema ni eneo zuri sana hapa duniani.
🚨BREAKING NEWS
Maelfu ya wahamiaji Waislamu wanadai sheria ya Sharia huko Hamburg.
Wanakimbia kutoka katika nchi zinazotawaliwa na Sharia na kwenda Ulaya,
kisha wanataka sheria ya Sharia tena katika nchi za Magharibi wanazofikia.
Nini maoni Yako ?