@SuluhuSamia Hongereni sana kwa kutuheshimisha kama taifa nimpongeze sana kwa namna ya kipekee mh.raisi mama Samia Suluhu Hasan kwa uongozi makini lakini hasa kwakujalii mchango wa kila mtanzania ktk kuliheshimisha taifa letu Tz mwenyezi Mungu akujalie maisha mema na baraka tele mama yangu
@AliKamwe_ Ally kwa utulivu na uungwana ulionao hasa kwa kusema kwelii utafika mbali mnoo kimafanikioo maana ni vijana wachache mnoo huongea ukweli na kuukubali ukweli wengi huwa wana fake mambo
@Wakusnooz Big up Sana kwa huyo jamaaa maana hakunaa kuichozidi thamani ya baba na mama yako ndio maana hata bible inasema tuwahishimu tupate heri duniani we ulisikiaa wapi kuhusu mke zaidi ya kuwa naye mpaka kifooo