@maluu_captain Hii nilimwambia mwalimu wa Chemistry
"Wewe unanichapa ili nipate Maumivu, Ukiona nashika ujue naumia. So huwezi sema unafuta wakati Maumivu nimeyapata. Huo utakuwa unyanyasaji Sasa"
@YoungAfricansSC@Simon_Machibya Once mwananchi always mwananchi till next time hakuna tunachowadai makamanda mmepambana na ndo matokeo ya mwisho tukajitafakari upya tutarudi tukiwa imara inshaallah💚💛