@YerickoNyerereT CHAUMA hawawezi kujitenga kabisa na kilichotokea October 29 tena wao ndio walikuwa chachu ya watu kuuwawa wakiamini wanaouawa ni WANA-CHADEMA.
@YerickoNyerereT Maneno haya yanathibitisha kilicho kupeleka kwenye tume "Unataka kufanya jaribio lingine la mapinduzi au unataka kuingia mstuni kuwa muasi"
tunashukuru kuendelea kutupatia taarifa ulizopeleka kwenye tume
Wakuu kwa uhitaji wa huduma zifuatazo:- Professional business consulting,accounting & financial services, marketing,tax solutions, and strategic business advisory to help your business grow, adapt and succeed nicheck dm au email: [email protected]#MtuKaziSinaKazi
#Tanzania: UN Human Rights Chief @volker_turk urges
investigations into the killings & other violations linked to the 29 October elections, as reports emerge of bodies collected by security forces & taken to undisclosed locations.
https://t.co/dxLUkE9e09
Kumbe marefa ndio huwa wanatuharibia mpira kama tume ya uchaguzi, tunavyofurahia leo game iko fea ndio tunatakiwa tuwe na furaha hii uchaguzi ukifanyika baada ya reforms
Mainstream media zimegoma kuchapisha habari za ‘press’ ya Bishop Josephat GWAJIMA akizungumza kuhusu utekaji. Hata waliokuwa wamechapisha, wamefuta. Mantiki yake ni kwamba ujumbe wa Joe Gwajima ni mzito na sahihi. Tutaweka hapa press yote, tutazame pamoja. We’ve no country here.
KANISA KATOLIKI LA ROMA LIMETOA MAAGIZO KWA WAUMINI WAKE WOTE KUTOJIHUSISHA NA SIASA.
SOMA BARUA HIYO.
REPOST 400✅️✅️✅️✅️
#NoReformsNoElection#TUTAKUWEPO🫵😎
KANISA KATOLIKI limesema.
Likisema KANISA KATOLIKI HILO NI AGIZO SIO OMBI.
Sasa shupazeni SHINGO wakina MURILO na hao wanao watuma.
Kama unasali KATOLIKI ongeza SADAKA.
REPOST 400🔥🔥🔥🚨🚨🚨
#TUTAKUWEPO🫵🏾😎