Mapema leo tumekabidhi @mfa_tanzania ripoti ya majumuisho ya mawazo kutoka kwa vijana, watu wenye ulemavu na asasi za kiraia kuhusu matarajio yao kuelekea mkutano mkuu wa @UN ujulikanao kama #SummitOfTheFuture utakaofanyika jijini New York tarehe 22-23 Septemba.
Furaha kubwa kuona ushindi mnono tuliousubiri kwa hamu.
Pongezi kwa @mfa_tanzania na @wizara_afyatz kwa uratibu mzuri. Viongozi mbalimbali, wadau wa maendeleo na wananchi wote kwa kumuunga mkono Mh. @DocFaustine
Tanzania🇹🇿 imeshinda, Dr. Ndugulile ameshinda 🔥 📸 @trtafrika
Leo hii mkutano wa 74 wa kamati ya kikanda kupitia @WHOAFRO umeanza rasmi mjini Brazzaville.
Ndani ya mkutano huu tutashuhudia hekaheka za kumpata mkuu Mpya wa #WHOAfro. Tanzania tunae Mh. @DocFaustine kama moja ya wagombea wanne Afrika. Ni imani yetu kua ushindi utarudi kwetu🇹🇿
To all Ministers of Health in Africa; it’s time to have a transformational leader for @WHOAFRO in order to achieve the agenda 2030.
With his proven track record, Hon. @DocFaustine is well suited for the position.
Let’s build a Healthier Africa Together!
#Ndugulile4WHOAFRO
With 6 yrs left to complete the #DecadeOfAction by 2030, #WHOAFRO needs a transformational leader for effective fulfillment of the #SDGs. @DocFaustine 🇹🇿is a perfect fit, possessing both technical and political skills to advance health agenda in Africa| Cc @ali_naka@zoomafrika1
Rejoignez la mission du Dr. Faustine Ndugulile pour construire une Afrique en meilleure santé ! Travaillons ensemble pour des systèmes de santé accessibles, équitables et durables | #Ndugulile4WHOAfro@DocFaustine
I’m endorsing Hon @DocFaustine for @WHOAFRO Regional Director position due to his extensive background in public health, technology, & health policy, combined with leadership roles in Tanzania and the region, which make him ideal candidate to advance health outcomes across Africa
Rasmi sasa The Maskani Msimu wa Pili umeanza, Kuna mengi sana tumekuandalia ewe kijana cha kufanya ni kukaa karibu na mitandao yetu ya kijamii ili kuwa wa kwanza kupata madini kutoka kwetu.
Kwani kuna Shidoo! 😁🤷♂️
#OngeaKijana | #TheMaskani
At the Energy Efficiency Project inauguration in Dodoma, Tanzania! Excited to see @undptz & the Ministry of Energy launch the first electric vehicle and charging stations, promoting #NetZero and clean e-mobility! 🚗🔋🌍 #CleanEnergy#SustainableFuture
Last week marked a milestone for #mulika255 & 14 local NGOs as we completed one-year HIV projects. As @USAmbTanzania commended our efforts, highlighting our impact in supporting @PEPFAR mission in Tanzania. Together, we've made strides in the fight against HIV/AIDS.
Had a very fruitful conversation with Ms. Suzan Sylvester, Chairperson of @YUNA_Tanzania and Mr. Marx Chocha who visited the Ministry’s Office in DSM. I pledged that @mfa_tanzania will continue to engage and support YUNA in its important activities. #Youthindiolomacy.
Leo ni siku ya usalama mtandaoni! #Mulika255 kwa kuwa mstari wa mbele kuelimisha na kuhamasisha vijana juu ya umuhimu na namna wa kuwa salama mtandaoni.
Tuwe mabalozi wa mabadiliko, tuchukue hatua za kuimarisha usalama wetu mtandaoni na kuelimisha wengine pia!
#SID2024
The Sinking Cities.
Cities should be at the core of our plans on Tanzania's Vision 2050.
Dar es Salaam is battling ever-rising sea levels and annual intense rainfalls making it a nightmare for urban planners.
An estimated 8 percent of the city already lies below sea level, which puts over 143,000 people at risk from coastal inundation.
While seawalls have been constructed in Tanzania's costs. The challenge is getting the water back to the sea hence the need of the most efficient drainage system in the city.
The World Bank estimates that climate change will hit East Africa hard, forcing more than 10 million people to flee their homes by 2050.
The rise in sea levels is occurring as the population of Africa’s coastal cities is skyrocketing. Between 2020 and 2030, Africa’s 7 largest coastal cities—Lagos, Luanda, Dar es Salaam, Alexandria, Abidjan, Cape Town, and Casablanca—are projected to grow by 40 percent (48 million people to 69 million).
Coastal megacities like Lagos and Dar es Salaam power national economies. Are we prepared to mitigate, adapt or completely leave the cities?
Utafiti wetu mdogo unaonyesha vijana wa Tanzania wanakabiliwa na vitisho mbalimbali mtandaoni, ikiwemo unyanyasaji wa kijinsia na wizi wa utambulisho. Kaa nasi kupata mchongo wa namna ya kujilinda usalama wako mtandaoni.
#DesaMonday#OngeaKijana#themaskani
Hivi unajua kuwa idadi kubwa ya vijana Tanzania wanakumbana na uonevu na unyanyasaji mtandaoni? Tuungane kufanya mtandaoni kuwa sehemu salama.
#DesaMonday#Ongeakijana#themaskani
Hii wiki tutakuwasilisha ripoti ndogo ya 'Utafiti kuhusu Usalama na Usalama wa Vijana Mtandaoni nchini Tanzania'! Ripoti hii inaangazia uzoefu wa kidijitali wa vijana wa Kitanzania, ikionyesha changamoto na fursa katika ulimwengu mtandaoni.