Rasmi sasa The Maskani Msimu wa Pili umeanza, Kuna mengi sana tumekuandalia ewe kijana cha kufanya ni kukaa karibu na mitandao yetu ya kijamii ili kuwa wa kwanza kupata madini kutoka kwetu.
Kwani kuna Shidoo! ππ€·ββοΈ
#OngeaKijana | #TheMaskani
Wiki hii ni Episode ya 8 Msimu wa Pili wa The Maskani.
Mada: NAMNA YA KUCHANA KWENYE MAHUSIANO KWA NJIA NZURI HUSUSANI KWA VIJANA.
Alhamisi saa5 Asubuhi, Ndani ya YouTube Channel yetu ya The Maskani. Usikose !
#KwaheriYaUpendo | #themaskani
Wiki hii kwenye The Maskani tutaku na Mshauri wa masuala ya Mahusiano @winnienmponzi, tukijadili kuhusu suala la mahusiano kwa ujumla na namna nzuri itakayokusaidia kuvunja mahusiano kwa Amani, endapo mtakua mmeshindwana na mwenzi wako.
#KwaheriYaUpendo | #themaskani
Katika safari ya maisha, wakati mwingine tunalazimika kufanya maamuzi magumu ya kuvunja mahusiano. Ingawa kuvunja uhusiano si jambo rahisi, ni muhimu kufanya hivyo kwa njia ya Amani. The Maskani wiki hii tunakuletea Mchongo huo, kaa karibu nasi.
#MchongoWaWiki | #themaskani
Karibu kutazama Episode ya 7 Msimu wa pili The Maskani. Wiki hii tuko na wataalamu wa masuala ya masoko ya kidijitali na branding, ambae ni Duka Huru (Shamsi Ramadhani ) na Neema Kaniki.
https://t.co/OUd1nmxIvq
Wiki hii ni Episode ya 7 Msimu wa Pili wa The Maskani.
Mada: BRAND & MATANGAZO INAVYOONGEZA WATEJA MTANDAONI
Alhamisi saa5 Asubuhi, Ndani ya YouTube Channel yetu ya The Maskani. Usikose !
#Jibrand | #themaskani