The 67th ATE Annual General Meeting (AGM), Elections & Employers Symposium, it is confirmed that our Chief Guest is the Minister of State, Prime Minister's Office - Labour, Employment & Relations, Hon. Deus Clement Sangu (MP).
#ATEAGM2026 | #EmployersSymposium | #ATETanzania

Vijana wenye ulemavu nao wanayo haki ya kutafuta, kuzifikia taarifa na huduma za afya ya uzazi pale wanapozihitaji bila kubaguliwa kwa namna yoyote.
#LetsTalkTz | #KijanaPlus | #AfriYANTz
Sasa ukiwa na YasApp unaweza,
• Kununua bundles fasta
• Ku-spin na kujishindia zawadi
• Kushare data na washkaji
• Kupata huduma zote sehemu moja
Pakua YasApp sasa na urahishe mambo kidigitali
#YasApp#PakuaAppYaViwango
Kila mtoto ana haki ya kuishi salama na kwa heshima. Lakini kwa watoto wenye ualbino, haki hii bado inahitaji ulinzi wa kweli kutoka kwa jamii yetu.
Ni wakati wa kuchukua hatua kulinda, kuelimisha na kuhakikisha hakuna mtoto anaachwa nyuma.
#HakiJumuishi#WatotoWenyeUalbino
Kila mtoto ana haki ya kuishi salama na kwa heshima. Lakini kwa watoto wenye ualbino, haki hii bado inahitaji ulinzi wa kweli kutoka kwa jamii na mifumo yetu.
Ni wakati wa kuchukua hatua kulinda, kuelimisha na kusimama pamoja kuhakikisha hakuna mtoto anaachwa nyuma.
#HakiJumuishi #WatotoWenyeUalbino