@JimmyMtanzania@zittokabwe Wanasiasa wa kiafrika ni wendawazimu kabisa,waliojaa ubinafsi. Viwanja vya ndege,viwanja vya mpira,madaraja,barabara,mahospitali. Mpaka maphd ya mchongo mnayataka..puuuh
@KiondoJr_@FaradayMtz01 Sumri alishafariki. Alikufa kile kipindi cha corona ile ya mwanzo. Alikuwa kwenye transition period ya kutoka kwenye passengers transport to agrobusiness.