#JPMRukwa “Ninafanya haya kwa ajili yenu, mlinichagua bure, ni lazima niwahudumie bure. Mafisadi wameifikisha mahali pabaya nchi yetu. Nchi hii ni tajiri haitakiwi kuchezewa hivyo”- @MagufuliJP
Cc
@MsigwaGerson
#JPMRukwa “TANROADS, nawapa siku 5 muwe mmeshahama kwenye ofisi yenu, mkatafute ofisi ya serikali. Lakini nitoe wito kwa taasisi nyingine, ambazo zimezoea kupanga na kutengeneza percentage. Mwezi mmoja wahamie kwenye majengo ya Serikali”- @MagufuliJP
Cc
@MsigwaGerson
#JPMRukwa “Utajiri unakuja ndugu zangu, msilaze damu, tusidanganywe! Nchi hii ni tajiri, nchi hii inaweza, ndani ya miaka michache ijayo ikawa inatoa misaada, hao waliokua wanatupa misaada tutakua tunawapa wao misaada”- @MagufuliJP
Cc
@MsigwaGerson#Tanzania
Muda mfupi ujao Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli atampokea Rais wa Afrika Kusini Mhe. Ramaphosa, Ikulu Jijini Dar es salaam. Mhe. Rais Ramaphosa amewasili hapa nchini jana jioni kwa Ziara ya siku 3 na atahudhuria Mkutano wa 39 Wa (SADC) unaofanyika Jijini Dar es Salaam.
RC @AllyHapi "Nitumie fursa hii kuwaonya wana siasa waniache nifanye kazi niliyopewa na Mhe. Rais Magufuli ikifika muda wa siasa tutafanya siasa, sasa ni muda wa kazi tu, wapo wanasiasa wanawashwa, wakikuona unafanya kazi wanaanza maneno maneno"
#Nawafuatamlipo
RC @AllyHapi "Kama nitaendelea Kua Mkuu Wa Mkoa Sitakubali kuona mwananchi yoyote anadhulumiwa haki yake na mtu yoyote, nitahakikisha napambana kutafuta haki za wanyonge"
#nawafuatamlipo
RC @AllyHapi "Mtendaji yoyote anayeona kero kwenye eneo/idara yake zimeongezeka badala ya kupungua huyo hatoshi kwenye nasafi hiyo watendaji lazima watatue kero za watu"
#Nawafuatamlipo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli ameshuhudia Utiaji Saini wa Mkataba wa manunuzi ya Mahindi kati ya Wakala wa Taifa wa Uhifadhi Chakula (NFRA) na Shirika la chakula Duniani (WFP).Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam.Januari 4,2019
NEWZ ALERT
Rais @MagufuliJP amesema, serikali itanunua korosho yote kwa bei ya shilingi 3300/= kwa kilo moja isiyobanguliwa.
Mhe. Rais ametoa agizo hilo muda huu baada ya kuwaapisha mawaziri na Manaibu Waziri Ikulu Jijini Dar es Salaam
Cc
@MsigwaGerson@hpolepole
Mkuu Wa Mkoa Wa Iringa Mhe. @AllyHapi akikagua Mabanda Mbalimbali Ya Biashara Kwenye Uzinduzi Wa Kampeni Ya Iringa Mpya Ziara Tarafa Kwa Tarafa Kusikiliza Na Kutatua Kero Za Wananchi
@Ally_linje@masoudkipanya@jokateM@CloudsMediaLive