Huku CAF , huku UEFA CHAMPIONS league.
Siku ya pesa imefika wanangu.🫵🏾🔥
Naomba unipe Predictions zako za leo, kama una mkeka weka code na jina la kampuni hapo kwenye Comments wahuni turuke nayo.
Wasoma Comments naomba REPOST tufikie wakali wa hizi kazi.🫵🏾🔥
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Ndugu wajumbe Nje ya MLIMAN CITY wananchi wamejaa.
Hawajali ni usiku sana ila wamekuja Kushuhudia historia hii mnayoenda kuandika leo.
Hawajali mtamaliza sangapi kuleta USHINDI huu ila wapo na watasubiri.
Wananchi wanawaomba Mumpigie kura ya NDIO TUNDU LISSU na Makamu mwenyekiti JOHN HECHE.
Kwa kufanya hivyo mtakuwa mmelikomboa TAIFA. Mungu awabariki.
REPOST 400 ujumbe uwafikie Wajumbe UKUMBINI.🔥🔥🫵🏾🫵🏾