Mwenyekiti Lissu ameniambia leo, Siasa za Udalali zinapaswa kupingwa sirini na hadharani. Anasema yeyote anayezifanya hawezi kuwa rafiki yake. Amenionya mimi na Vijana wote wa CHADEMA kuwa tusiwe Madalali kwenye Siasa. Nimemuelewa na BAVICHA tutasimama hilo kwa wivu Mkubwa.
Kesi ya Lissu, Mahakama inasema hakuna haja ya kuwa na ushahidi wa serikali kudhibitisha Tuhuma walizopeleka hapo mahakamani
Leo kwa mara ya kwanza Dunia, mahakama inasema uwa inafunga watu bila uthibitisho wa makosa ushahidi wowote ule
Halafu mnesema tukae mezani na wahuni kama hawa?
#Maandamano
#FreeTunduLissu
Mahakama Kuu imetoa uamuzi na kusema Mhe. @TunduALissu ana kesi ya kujibu katika kesi ya uhaini inayomkabili.
Baada ya uamuzi huo, Mhe. Lissu amesema atatumia haki yake ya kujitetea na atajitetea mwenyewe kama shahidi.
Kwamba unasema mtu ana kesi ya kujibu, alafu unasema kufikia maamuzi hayo serikali hawakupaswa kuthibitisha kama ushahidi ni wa kweli au wa uongo?
Siku nyingine ya aibu na dharau kwa Nchi yetu..
Hii itakua ni historia ya aibu na iko siku watu watajibu uonevu na unyanyasaji huu.
My trusted left-back in the community league we will play in the Jannah.
Like I used to say: time will eventually reveal the truth.
That’s why I say: don’t block them. Let them see the posts. Let them abuse you. Let them call you names. Their hearts will soon soften.
Glory be to the Almighty for salvaging his soul. 👏🏿👏🏿
Roberto Carlos announced that he is a Muslim.☪️
Islam is the truth. No matter how much people oppose it, the light of Islam will continue to spread. ☝️🤍
Allah’s promise is true.
⛔️The famous American actor Will Smith:
"I loved the simplicity of the Quran. The Quran is very clear. It's hard to leave it with a misunderstanding. Its spirit is beautiful too."
🚨 BREAKING:
American actor Will Smith:
"I loved the simplicity of the Quran. The Quran is very clear. It's hard to leave it with a misunderstanding. Its spirit is beautiful too."