Reasons why Gaddafi was killed:
1. Libya has no electricity bill, electricity came free of charge to all citizens.
2. There were no interest rates on loans, the banks were state-owned, the loan of citizens by law 0%.
3. Gaddafi promised not to buy a house for his parents until everyone in Libya owns a home.
4. All newlywed couples in Libya received 60,000 dinars from the government & because of that they bought their own apartments & started their families.
5. Education & medical treatment in Libya are free. Before Gaddafi there were only 25% readers, 83% during his reign
6. If Libyans wanted to live on a farm, they received free household appliances, seeds and livestock.
7. If they cannot receive treatment in Libya, the state would fund them $2300+ accommodation & travel for treatment abroad.
8. If you buy a car, the government finances 50% of the price.
9. The price of gasoline became $ 0.14 per liter.
10. Libya had no external debt, and reserves were $150 Billion (now frozen worldwide)
11. Since some Libyans can't find jobs after school, the government will pay the average salary when they can't find a job.
12. Part of oil sales in Libya are directly linked to the bank accounts of all citizens.
13. The mother who gave birth to the child will receive $5000
14. 40 loaves of bread cost $0.15.
15. 25% of Libyans had all Ilisna diplomas.
16. Gaddafi has implemented the world's biggest irrigation project known as the "BIG MAN PROJECT" to ensure water availability in the desert.
If this is called “DICTATORSHIP” I wonder what democracy is?
Fadlu Davids alionesha ukomavu mkubwa sana leo kwa kufanya maamuzi sahihi katika mechi ya leo.
Ukiachana na Kibu D na refa, huyu jamaa pia alikuwa na sifa za kuwa man of the match.
Hizi ni baadhi ya sababu zinazomfanya kuwa na sifa za "Man Of The Match"! ⚽️👇
🧵 Thread:
#SupaBreakfast : Ni taarifa za majonzi na kuhuzunisha nchini Tanzania kwa kuondokewa na mpendwa wetu, Dkt Faustine Ndugulile ambaye kwa wadhifa ni Mbunge wa Kigamboni na mteule wa nafasi ya ukurugenzi wa shirika la afya ulimwenguni ''WHO'' kwa Bara la Afrika.
Kwa urefu zaidi unaweza kuitazama kupitia YouTube channel yetu ya EastAfricaRadio
#MtaaUmeitika #HainaKuchoka #Tanzia #EastAfricaRadio
POLITICS AS USUAL
Siasa za kwenye Tuzo ni tatizo sugu na lina pande tatu; MASSAGING EGOS, BALANCING EMOTIONS & MANAGING EXPECTACTIONS.
Nilihudhuria Tuzo 2022, kila mtu badala ya kushukuru team yake, producers, writers, management, anasema, “Tunamshukuru Rais”.
Tuzo zikitumika as “propaganda machine”, anayeumia ni MUZIKI. Tanzania ina potential kimuziki, ila tumenasa sababu hatuchukui hatua stahiki; na Tuzo kutumika kisiasa haisaidii.
Wasanii wenye MAUDHUI ya KISIASA na UANAHARAKATI kutopata nafasi. I mean by Umaarufu, Streaming Numbers na Impact, wimbo wa Roma wa “NIPENI MAUA YANGU” unapaswa kuwa nominated! Ndio mimi niliuponda (by my standards na ni obvious tuna beef), ila kwa Standards za kibongo, wimbo hauna neno na ulikuwa lead song iliyo propel auze vizuri album yake.
Sasa tunawalindaje kina Roma, Nay Wa Mitego, Wakazi, Vitali Maembe,nk, kupata fair-share ya Tuzo bila kujali mitazamo na itikadi.
Kumbuka Nyuma ya Tuzo kuna BASATA, ambao recently wamekuwa kama Polisi wa Sanaa na sio Walezi.
Pia Tuzo zikiwapa ushindi Artists ili WASINUNE, je tutakuwa tunaitendea haki Tasnia? Nimeona Zuchu kaongelea hilo. Yaani it looked obvious kuwa kuna BALANCING inafanyika, kwenye category na kwenye ushindi
Why GOSPEL MUSIC wamenyimwa Category? Wao wanataka, ila nyie kwa sababu za KISIASA hamtaki kisa Waislamu hawataki KASWIDA na nyie mnaona kama moja ikiwepo na lazima nyingine iwepo. Sasa mbona Category nyingi tu hamjaziweka? Infact kwenye Hip Hop hamna Male & Female?
SUGGESTION: Serikali iweke structure kwa Tuzo kufanyika, ila isiwe ina interfere kitu and let the music play!
Kuwe na Uhuru wa kuwepo Tuzo mbali mbali, na BASATA wala WIZARA isihusike.
Academy izingatie MUZIKI na sio WASANII. Focus iwe kwenye muziki bora na uliofanya vizuri. Tusiangalie Majina wala ku-balance ili wote wafurahi. YOU CANT PLEASE EVERYBODY! Kama kuna wimbo unastahili kushinda kila kitu acha ushinde. Imagine Mwaka ambao Darassa alitoa “Muziki”, tungeshangaa yeye kushinda kila kitu?
Kuwe na Category ya BEST INSPIRATIONAL MUSIC ambapo Gospel na other inspirational music will fall under. Muziki wa Kiislamu ni Ibada, ila isiwe sababu ya Gospel kushindwa kupewa maua yao.
@MwanaFA@SevenMosha@TashStam@simulizinasauti@millardayo@WizaraSanaa@NdumbaroDamas@BasataTanzania@mapana_kedmon
Siku imepamba moto!
Leo ndiyo siku yenyewe ya Uzinduzi wa Alama ya Asali ya Tanzania! @bevac_tz
Tupo tayari kumpokea mgeni rasmi Mhe. Dkt. Balozi Pindi H. Chana Waziri wa @wizarayamaliasili kuzindua Alama na Jiwe la Msingi kwenye bweni la wasichana katika Chuo cha Mafunzo ya Ufugaji Nyuki
Jamani, wito ni mmoja #ChaguaAlamaYaAsali
@MNRT_Tanzania@Enabel_Belgium@EUinTZ
Mpaka sasa tuna tuzo nne katika ligi kuu ya NBC
Chemalone - Mchezaji bora wa mechi dhidi ya Tabora
Jean Ahoua - Mchezaji bora mechi dhidi ya Fountaina Gate
Fadlu Davis - Kocha bora mwezi August
Jean Ahoua - Mchezaji bora Mwezi nane
Na badoooooooooo Tutabeba sanaaaaaaa
MWANANGU nisikilize kwasasa Wanawake watakuacha saaana tu, Mabinti hawatodumu kwenye maisha yako ila lisikupe shida, kanuni ya maisha ni kuwa Paka hakai na Msela, mara atakwambia haupo romantic yani hujui kubembeleza, utawezaje Mwanangu wakati kichwa kinawaka moto na maisha yanataka kupetiwa ili vitu viende.
Kuna wakati atakwambia hakuna Mwanaume busy kwa Mwanamke anayempenda lakini anasahau maisha ya Msela akishika simu sometimes kuna mchongo anaosikilizia anauchungulia kama umetiki, kuna wakati anawasha data sio kuchat bali kuona kama Email imejibiwa ama kuna tangazo la ajira.
MWANANGU kwasasa utaitwa kila jina, tushawahi shuhudia Diamond akiitwa Domo na sasa Mabinti wanasema ana lips denda, tushawahi shuhudia Wanetu wanaambiwa “Wewe sio type yangu” ila wapo busy kulamba vitambi vya Wakongwe na kujibebisha eti Dady, atasema sidate na Watoto ila analala na Mwanaume umri wa Babu yake.
WANANGU kama tunazitaka mali tutazipata kwenye hustle, kama tunaumizwa na hawa Mabinti na Wanawake aminini Wanangu tutawakuta wengine mbele, tuwe BIZE SAAANA kwakuwa wao ni sehemu ndogo sana ya maisha yetu, tunao Ndugu na Wazazi wetu wanaotaka ushindi wetu.
WANANGU tujibu texts zao pale ambapo muda umepatikana, tupokee simu pale ambapo hakuna mishe nyingine, tuwe busy tupambanie maisha, wao ajira zao zipo ndani ya nguo zao wengi wao, sisi ajira zetu zipo ndani ya jasho letu, mpaka mwisho Wanangu, wakisema sio romantic fresh, wakisema hatujali fresh sisi hatuna muda mwingi wa kujiteteta tunasaka USHINDI.
MKULIMA WA BONDE LA MTO KILOMBERO.
Nimeshiriki mkutano wa kwanza wa kimataifa kuhusu Nishati Safi ya Kupikia jijini Paris ulioandaliwa na Shirika la Nishati Duniani (IEA). Hii ni heshima kubwa kwa nchi yetu kutambulika kwa juhudi zetu katika eneo hili, na kupata nafasi ya kushiriki mjadala wa kimataifa kuhusu nishati safi ya kupikia ambapo majawabu yake yatawafaa watu bilioni 2.3 duniani wanaoishi na changamoto hii ya nishati, milioni 900 kati yao wakiwa katika Bara la Afrika.
Katika hotuba yangu nimeeleza dhamira ya nchi yetu kutekeleza mkakati wa kitaifa wa Nishati Safi ya Kupikia wa Miaka 10 tuliouzindua hivi karibuni wenye lengo la kuhakikisha asilimia 80 ya Watanzania wanatumia nishati safi ya kupikia ifikapo mwaka 2034. Pia, nimeongeza sauti yangu kwa jamii ya kimataifa na wadau wa sekta hii kuongeza nguvu kisera na kifedha na kuufanya mwaka 2024 kuwa Mwaka wa Nishati Safi.
Mabadiliko kuleta matumizi ya nishati safi ya kupikia ni hatua kubwa katika maendeleo ya watu wetu na yataakisi hatua tunazopiga kiuchumi na kwenye ukombozi wa mwanamke kwani hii ni moja ya changamoto kubwa kwao.
Tutafanikiwa.