@mshambuliaji Na wewe Mau unakua na ushabiki maaandazi saaa kwenda suluhu kipindi cha kwanza ni kosa??? Acha watu wafanye yao ndg safar bado ndefu sana ya ligi hiii ya kinafiki
Kwa hiyo Mambosasa akamchukua yule mtuhumiwa anaemtaja @MayorUbungo kwamba anamiliki mabomu kwenda nae TBC, Mtuhumiwa akasema @freemanmbowetz ndie anawatuma, Mambosasa nae amekaa kwenye camera? Akaambiwa , one, two, action?? Hii nchi yetu inapitia mazingira magumu sana.
Yaani CCM mpira unachezwa golini kwao tu toka uanze .. Hawaonekani mbele kabisa π€£ yaani mwaka huu mtajua Lissu ni mwalimu wa wanafunzi .... yaani hatutoki golini kwenu mpaka mjifunge umbwaa nyie
Yaani CCM mpira unachezwa golini kwao tu toka uanze .. Hawaonekani mbele kabisa π€£ yaani mwaka huu mtajua Lissu ni mwalimu wa wanafunzi .... yaani hatutoki golini kwenu mpaka mjifunge umbwaa nyie
@RealHauleGluck @BenMembe@TunduALissu@ChademaTz@ACTwazalendo Membe mwache twende naye kwenye uchaguzi tusipoteze muda kujadiliana na mtu ambaye hana cha kumuachia Lissu.. kama hataki ataona matokeo kwenye sanduku la kura!
@OKumwembe Mimi nahisi huyo ni km nyoka anaekaribia kufa hua anajisogeza karibu na barabara ili agongwe na gari ajifie tu basi.Huyo mla kondooo wa bwana alishajilaaani mwenyewe