Salamu zenye Baraka kubwa kutoka kwa Kiongozi wa Kanisa la Efatha, Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira wa KANISA la EFATHA, Mwenge, Dar es Salaam. Anasema hakuna ambaye anaweza kumshinda mtu ambaye alishinda majaribu ya risasi 16 ndani ya mwili wake. Msikilize!