“Ninaomba sana Wizara ya Afya before we know which method we implement tufanye due diligence ya kuifatilia hii chanjo ni ya namna gani” Askofu Josephat Gwajima, Mbunge wa Jimbo la Kawe
@bajabiri Mti unaopigwa mawe ndio wenye matunda kupata viongozi wa aina ya Gwajiboy wasiojali maslai yao binafsi ni adim.HAKUNA CHANJO TZ NA SISI NDIO WATANZANIA