@NyandaAmosi Baba angu na babaake @KomboDM wana wake zaidi ya mmoja plus masulia "sio sifa nzuri" sijawai iona hiyo amani kwenye ndoa zao. Amani tunaipata kwa mwenye chanzo cha amani ambaye ni Mungu kupitia mwanae mpendwa Yesu kristo. Zaburi 119:165(a)Wana amani nyingi waipendao sheria yako