🤲Mpendwa mwombaji,unapoliombea taifa letu usisahau kuomba;
✍️Mungu awape ushindi wale wenye haki katika mambo yote.
✍️Mungu ashushe viburi na majivuno kwa viongozi wetu wote.
✍️Mwafaka wa kitaifa ili kuliponya taifa letu.
NB:Usiombee taifa liwe na amani pasipo kuomba HAKI
Kwamba?
💔Binamu wa baba/mama siyo ndugu wa watoto
💔Kaka/Dada wa baba/mama siyo ndugu wa watoto
💔Wapwa wa baba/mama siyo ndugu wa watoto
💔Wajomba/Shangazi wa baba/mama siyo ndugu wa watoto
🚮🚮Marafiki wa mjini na mitandaoni wanawapumbaza wengi mno.Pata ndoa/msiba utajua.
@ReganTesla_ The assets are registered as the legal property of the borrower but the lender can seize them and dispose of them if they are not satisfied with the manner in which the repayment of the loan is conducted by the borrower.