π LAMADI GUNSHOT WOUND VICTIMSβΌοΈπ¨
Nyie polisi mnafyatua hovyo live bullets na kuumiza wananchi ya nini?
Hatari sana na mnaleta taharuki wakati mlitakiwa kutumia busara kujibu wananchi waliofika kituoni kutaka majina
OCS wa Lamadi na wenzake wachukuliwe hatua! Na polisi wameiba mali za watu walipopita kwenye nyumba za wananchi!
Uhuni na ubabe mtupu!
#TutaelewanaTu