Miongoni mwa mafundisho ya Uislamu ni kudumisha uhusiano mzuri na ndugu zako. Kukata mawasiliano na familia si jambo jema—maisha yanaweza kufupishwa. Unganisha undugu, uongeze kheri na umri wenye baraka. 🤲
@SwahiliRealTalk Ni mtoto wake, tunamfahamu, tumeishi nae na tumefanya nae kazi. Ni mtu poa sana. Kufanya mzaha wakati wenzako wapo kwenye msiba sio jambo jema kabisa. Mwenyezi Mungu akujaalie hekima🙏🏾
@Octavianlasway Kuna kitu hakipo sawa kimikataba na hata kikanuni hii miradi wanayokagua wanasiasa, sijawahi ona tatizo la consultant wala client kila siku ni wakandarasi
@Benji_Fernandes Wote wameprosper ikiwemo mimi😃 kila mtu ana mradi au ana position ya kumake impact sehem flan, wa Primary ni mimi napiga dili za kisomi, mwenzangu Marekani, wa Secondary yupo engineer wa miradi na wa chuo ni superior wetu kwenye miradi ya serikali mimi Pm yeye kama pm wa client
I'm looking forward to giving a convocation keynote at the 2025 Mbeya University of Science and Technology (MUST) convocation, annual general meeting and ceremony.
My keynote is titled, Africa 5.0, Africa in The Age of Machine and Digital Civilization. I will be talking about emerging technologies and how they are shaping Africa, technologically, socially, politically and economically.
@patric_ph He is trying to make a point which will create maybe further problems, I don't know how authentic his data of that the leaders of the men in uniform are not well paid and protected, let's see how the game goes