Kufikiria vijana Watanzania ni wajinga ni kujidanganyaโฆ.
Mnatakiwa kutoka kwenye denial, hiki sio kizazi cha kuambiwa mambo ya uongo.
Mnaiba pesa za umma, mnaiba rasimali za vijana wa Nchi hii mnakabidhi wageni.
Vijana wanataka uchaguzi huru ufanyike ili wapate viongozi watakaosikiliza sauti yao na kuwaheshimu, watu wataoweka maslahi ya Taifa mbele sio maslahi ya familia zao na vikundi.
Leo mnapora uchaguzi kwa mtutu wa bunduki, mnataka nini?
Watu watakaopambana kuwaletea ajira na fursa za maisha bora.
Kudai haya sio kulipwa, wala kushawishi..
Mnafikiri Nchi hii ni mali yenu binafsi na familia zenu? Mnafikiri nyie ndio mna akili kuliko Watanzania wote?
A wise man once said:
What surprises me most about humankind is that we get bored of our childhood, rush to grow up, and long to be children again. That we lose our health to make money, and then lose our money to restore our health. That by thinking anxiously about the future, we forget the present.
Familia 10 Tajiri Zaidi Afrika:
1๏ธโฃ Familia ya Dangote ๐ณ๐ฌ
Utajiri: $21.6B
Familia hii inaongozwa na mwamba Aliko Dangote, mwanzilishi wa Dangote Group.
Biashara zao kubwa ni saruji, sukari, oil & consumer goodsโwanashika nafasi ya kwanza katika orodha hii.
Soma Zaidi: ๐๐