Kwetu tulioanza fuatilia mpira miaka ya themanini na tisini wakati ambapo kumiliki luninga ilikuwa ni alama ya anasa na utajiri, Hayati Charles Hillary kwa sauti yake na ugani wake wa kipekee aliweza kutufanya tuutazame na tuuone mpira kupitia spika za redio bila kuona tofauti yoyote na kutokuwepo uwanjani ama kutazama luningani.
Kaka Charles Hillary ametimiza ujumbe wake kwa kuishi na kufikia kikomo cha juu cha kipawa chake na tasnia ya habari nchini.
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Marehemu mpendwa wetu Charles Hillary mahala pema, peponi.
Sehemu ya kazi siku ya leo nilipokutana na kufanya mazungumzo na mmiliki wa klabu ya mpira wa miguu ya Manchester United, Sir Jim Ratcliffe, Ikulu, Dar es Salaam. Tumekuwa na mjadala mzuri kuhusu kushirikiana katika masuala ya uhifadhi pamoja na utafiti.
Sambamba na hayo, nimesikiliza dhamira ya Sir Jim Ratcliffe kuitumia Klabu ya Manchester United kutangaza utalii wa nchi yetu, ambapo pia nimemkaribisha kuanzisha Vituo vya Mafunzo ya Michezo (Sports Academy) hapa nchini. Nimepokea na kumshukuru kwa salamu za kheri toka kwa Kocha Ruben Amorim kwa niaba ya wachezaji wa Klabu ya Manchester United, na za Kocha Mstaafu, Sir Alex Ferguson.
My heartfelt thanks to Excellencies Heads of State and Government, distinguished guests, delegates, our development partners and friends, who made their way to Dar es Salaam for the Mission 300 Africa Energy Summit on the 27th and 28th of January 2025. The summit successfully provided us a platform to deliberate and commit to accelerate access to affordable, inclusive, sustainable and clean energy to over 300 million people in our continent. I am confident that the Dar es Salaam Declaration that we have adopted will shape Africa’s energy landscape up to 2030, in our work to the realization of economic liberation for our people.
Karibuni tena Tanzania.
Namshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa neema na baraka zake leo ninapotimiza umri wa miaka 65. Sifa njema zote ni zake Yeye, Mola Mlezi wa viumbe vyote.
Nawashukuru nyote kwa salamu nyingi za kheri na upendo kwa siku hii, na kwa dua njema katika kazi ya kulitumikia Taifa letu.
Ahsanteni sana.
A very Happy Birthday to our President @SuluhuSamia! 🎉 May Our Good Lord guide and bless you abundantly, granting you strength, wisdom, and good health as you lead us forward, especially in this pivotal election year. Wishing you nothing but success and prosperity!
Excellencies and distinguished guests, delegates, partners and friends, welcome to Tanzania for the Mission 300 Africa Energy Summit to be held in Dar es Salaam on the 27th and 28th of January 2025. This summit marks a historic moment in our collective efforts to accelerate energy access across Africa, and to take bold actions to power our continents's future.
Karibuni sana.
UNAPANGA KWENDA CHINA MWAKA huu 2025?
.
Usije ukapoteza muda wako huko kutafuta masoko na mwisho ukanunua Bidhaa kwa madalali...
.
China sio kama karikoo ambayo maduka ya kila kitu yako sehemu moja..
.
Save haya maeneo na ukienda china itakusaidia sana. Usije kufanya kama sisi ambao safari ya kwanza na ya pili tuliishia kununua bidhaa kwa maduka ya pale Ghuanzou na kwa madalali...
.
📱Electronics : 📍Guangdong (Shenzhen), Zhejiang (Hangzhou), Jiangsu (Suzhou)🔧
..
Machinery : 📍Jiangsu (Wuxi), Zhejiang (Wenzhou), Shandong (Qingdao)
..
🚗Automobiles & Parts: 📍Jiangsu (Nanjing), Shanghai, Guangdong (Guangzhou), Jilin (Changchun)
..
👗Apparel & Textiles: 📍Guangdong (Guangzhou, Dongguan), Zhejiang (Hangzhou), Fujian (Fuzhou)
...
🛋Furniture: 📍Guangdong (Foshan aisee hii sehemu hata kama hufanyi biashara ya furniture ufike tu uchukue vitu hapo), Zhejiang (Wenzhou), Fujian (Jinjiang)
...
🧴Plastic Products: 📍Guangdong (Dongguan), Zhejiang (Yiwu)
..
🛠Steel & Metals: 📍Hebei (Tangshan), Jiangsu (Lianyungang), Shandong (Qingdao)
...
🧪Chemicals: 📍 Jiangsu (Lianyungang, Nanjing), Shandong (Qingdao), Zhejiang (Ningbo)
...
🧸Toys & Sports Equipment : 📍Guangdong (Shantou, Dongguan), Zhejiang (Yiwu), Shandong (Linyi)
...
💡Lighting : 📍Guangdong (Zhongshan), Zhejiang (Wenzhou, Yiwu)
....
🍲Food & Beverages : 📍Guangdong (Guangzhou), Fujian (Fuzhou), Shandong (Qingdao)
....
💎Jewelry & Precious Metals: 📍Guangdong (Shenzhen), Zhejiang (Jinhua), Jiangsu (Suzhou)... mnaotaka kuuza Dhahabu na madini pia huku tembeleeeni kuna masoko
...
🔬Optical & Medical Instruments: 📍Jiangsu (Wuxi, Yangzhou), Zhejiang (Hangzhou), Guangdong (Shenzhen)
....
. 🏠Home Appliances : 📍Guangdong (Shunde, Foshan), Zhejiang (Ningbo), Jiangsu (Suzhou)
...
🏺Ceramics & Glass : 📍Guangdong (Foshan), Jiangxi (Jingdezhen), Fujian
..
Huwezi ipuuzia China kwa sasa kwenye ulimwengu wa Biashara, Marekani mwenyewe kichwa kinamuuma...
OMBI KWA familia ya x🇹🇿 yote tafadhali, tunapitwa jamani na wakati, zimebaki siku 8 tu Kila mmoja awe amejua kuhusu 👇
Haya repost, tag, like nk Ahsante Sana. ✍🏻🙏🏽
Dear God,
We pray for those who are grieving today. Please wrap Your loving arms around them and bring them comfort in their sorrow. Remind them that You are near to the brokenhearted and that Your presence brings peace even in the deepest pain.
Strengthen their hearts as they navigate this difficult time, and help them to feel the reassurance of Your love. Surround them with support and compassion through friends, family, and Your Spirit, letting them know they are not alone.
In Jesus’ name, amen. 🙏 @RyanMaher
Zoezi la kujiandikisha katika daftari la mkazi la mpiga kura uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 linaanza leo siku ya ijumaa 11/10/2024 hadi 20/10/2024 kila siku kuanzia saa 2:00 asubuhi hadi saa 12:00 jioni. Usipojiandikisha hutoweza kupiga kura 27/11/2024. Kajiandikishe sasa.
The journey starts here 📍
Our group of intrepid explorers have landed in Tanzania for the epic climb of Mount Kilimanjaro, in aid of the Foundation 😀🇹🇿
They will kick off their trek tomorrow! 💪
🔗 https://t.co/NODcVz418A
Now boarding: Kilimanjaro 🛫🇹🇿
Good luck to our group of more than 20 intrepid explorers who will spend the next week climbing to the summit of Mount Kilimanjaro in support of the Foundation 👏❤️
🫶 We’re right behind you all! Donate here 🔗 https://t.co/4nYJZQwThR