Watanzania walitaka namba ya MAKAMU HECHE ili wamtumie PESA kama kumuunga mkono kipindi hiki kigumu.
MAKAMU HECHE kaamua kuomba watanzania wachangie CHAMA-Chama kina jukumu zito ndani ya huu mwezi mmoja kuitisha BARAZA KUU LA CHAMA.
Baraza kuu la CHAMA linakuja kufanya maamuzi MAZITO juu ya haya mambo mawili.
1. KATIBA MPYA.
2. FREE TUNDU LISSU.
Jumla MILIONI 330 inatakiwa-Kufanikisha hili BARAZA KUU. Weka mchango wako kwenye account rasmi za CHAMA.
Voda (MPESA): 0744446969
JINA: CHADEMA HQ.
Repost 500
@SuluhuSamia Mhe Rais naendelea kushauri kwa dhati Tundu Lissu aachiwe huru kwani kesi haikamiliki. Hekima na busara iliyokufanya kutangaza sera ya 4Rs mara ulipoingia madarakani ikuongoze tena katika jambo hili. Simulizi hizi za kutisha za vyombo vya habari vya kimataifa, zinaibua hisia kali hasa kwa vijana, hata wazee tumekumbushwa kadhia ya operation Sogeza iliyounda vijiji vya ujamaa 1974 -1976. Taarifa hizi zinaathiri kikubwa taswira ya taifa letu na maslahi yake. Athari ni kubwa. Tutafute muafaka kupitia uwajibikaji na maridhiano. Tuwe na hofu ya Mungu na kutambua miujiza yake mfano wa risasi 16 kushindwa kukomesha uhai ingawa maumivu ni makubwa. Tutubu na kusali kuliombea taifa letu kila mtu kwa imani yake.
Madame Celeste Amarilla,
Vous êtes une femme méprisable et indigne de sa fonction.
Vous ne représentez pas le Paraguay, ce pays qui a transpiré la passion et l’honneur tout au long de la compétition. Par votre inconscience et votre racisme décomplexé, le monde entier a déjà oublié le parcours et l’effort historique que vos joueurs ont réalisés durant cette coupe du monde pour laisser place à une dame incompétente donnant la pire image possible de son pays.
Je ne laisserai jamais aux gens comme elle, la liberté de laisser propager leur haine et leur racisme à travers le monde.
@Balyx_ Accommodation facilities can be one of the factors lakin hayo sijui mautalii manin ni kiini macho. Tanzania tumefanikiw kuhost afcon + chan bcoz spirit yetu kwenye mpira imekua. Lakin I can assure you tuta fail miserably kwa sabab ya siasa.
@iam_duduke@FKihamu Kwa hatua ile na muda ule, kusave ile penalty ni ushind tosha kwa Senegal na walipaswa kumpongeza kipa sana. Diaz nae alipaswa kuumia on the spot lakin kila mtu aliendelea na mishe zake 😂 hii ni dhahir kila kitu kilikua scripted
@zeanonymouspoet@de_santo92334@mzeewakaliua 😂😂😂😂 chuma kinapigwa dakka ya 2 wote mwende nyumban. Nafikir mpira wa miguu unapaswa kuendana na thaman ya pesa watu waliyowekeza. Mtu hawez kuwekez billions of money alaf mpira uwe wa dakka 90 tuu