Kwa Huduma bora za ujenzi wa nyumba za kisasa, makadirio Bora ya nyumba unayotaka kujenga unapata pamoja na Ramani vyote bure ๐Follow the Ujenzi โจ channel on WhatsApp: https://t.co/IN8vDOFtHA
Kwa hiyo mtakubali huyu ndo awe Rais if kimama asiponyanyuka? ๐ Kweli mnajiita vyombo vya ulinzi na usalama na mnajua madudu yake mmekaa tu!?
Nchi tutaikomboa lazima ila itabidi mje mtueleze mengi!
Madilu naye CCM wanataka atoke maana ni next in line kwa mujibu wa Katiba baada ya Makamu - alafu wanapanga watuletee Bashite?
Thubutuu!
Sisi wenye nchi wananchi ndo tutaamua nani awe Rais na tunajua tunamtaka nani! Hakuna hata mmoja wa hii serikali haramu anayefaa!
Siku mkimtangaza huyu Rais ndo ishara ya kuanza maandamano ๐ฅ๐๐ฝ
#SamiaMustGo #FreeTunduLissu #TutaelewanaTu
Kwa Huduma bora za ujenzi wa nyumba za kisasa, makadirio Bora ya nyumba unayotaka kujenga unapata pamoja na Ramani vyote bure ๐Follow the Ujenzi โจ channel on WhatsApp: https://t.co/IN8vDOFtHA
Kuna pisi ipo hapa mgahawani imekaa pembeni yangu,inaangalia movie kwenye cm afu imetafsiriwa na Dj afro sauti mpka mwisho na hajavaa pods ๐๐ mgahawa mzima tunamskiza yeye ๐๐