Mahakama ya Hakimu Mkazi huko Kano Kaskazini mwa Nigeria imemuamuru Mwanaume aitwae Malam Yusuf kumchinja jogoo wake kwa sababu amekuwa akipiga makelele na kusababisha usumbufu.
Hukumu hii imetolewa baada ya Jirani kushtaki akilalamikia kukoseshwa usingizi. #MillardAyoUPDATES
Kwahiyo ule msemo wa โ๐๐ข๐ฆ๐ฎ ๐๐ฎ๐๐ฐ๐ ๐ณ๐จ๐ญ๐ ๐ก๐ฎ๐ฐ๐ ๐ณ๐ข๐ง๐๐๐ง๐ณ๐ข๐ ๐ฎ๐ ๐๐ง๐ข๐ง๐ขโ si bado uko palepale .. Au kuna Mabadiliko kidogo ๐
#NBCPlFastestGoal Mtaalamu wa kuziona nyavu @princemgadafi, alivvyowanyamazisha wapinzani kwa bao safi lililoingia kwenye rekodi ya kuwa bao la mapema zaidi katika Ligi Kuu ya NBC.
Pasi tatu hadi goli sekunde ya 16 ya mchezo!!! ๐ฅ
#weareazamfc#timuborabidhaabora