YANGA wana timu,Wanawachezaji na wana Viongozi...!
Mpira hauendeshwi kwa propaganda bali mpira ni mchezo wa wazi kila kitu kinaonekana uwanjani.
USAJILI + UWEKEZAJI= MATOKEO
@RahmaMwita Kama viongozi wetu wa kiislam wamekaa kimya,baada ya TEC kutoa warka ndo wanaibuka,so tusichukulie kama ndo kichaka cha kujificha kupitia dini...ifike pahala tujitambue na kuamka ana tusiwe fuata upepo.
TEC wamekaa wao wakapitia wameona dosari,je sisi na jumuia zetu je?
@RahmaMwita Mimi ni muislam,lakininkwenye hili suala si sahihi,ni viongozi wetu wa kiislam ndo wanaligeuza hii hoja ionekane ya udini.
Ukiachana na suala hili hawa Chadema ndo hata wamekuwa mstari wa mbele hata kuwapambania masheikh walio mahabusu,wakati waislam wapo kiimya 🤐.
@ahmed__ally@moodewji Kwanza akamjibu Mhesgimiwa Kigwangala na wanasimba wengine,hizo pesa alizowekeza 20bn ziko wapi na ziko kwenye mfumo upi?anaruka ruka tu,mara kasusa,mara anapata hasara..mara anaitaka team.
Tajiri masimango snaa anaota tu kila uchwao..
The best day on which the sun has risen is Friday; on it Adam was created, on it he was made to enter Paradise, on it he. was expelled from it
[Muslim]
@DENIC19916889 @HildaNewton21 Inashangaza sana...badala yake wanaona ni kheri kumpigia chapuo looter na genge lake.Sasa ajenda ni nini?tunayopambana nayo hapa nyumbani,tunayaunga mkono kwa jirani badala ya kuyapinga.
Dah,
All the prayers you’ve been making, the dreams you’ve been wanting so badly, trust the Almighty because He has it under control. He is going to ensure that things fall into place. He is going to make things happen that you could never have done on your own.
@Chrislaus1599 @bwengeedwin @erick_calyst@Lukala_Ngesse Dont try it at home,sema sababu ya demo kawahi kumzuia ili asidhirike,.lakini kihalisia unafikia mgongo ama kichwa..ni hatari sana.
Unanunua umeme 31,000, unakatwa kodi tatu tofauti karibia sh 6,000 mkinunua 10 au 1000 au 100,000 kwa siku. Hizo ni kodi za wanachukua serikali, baadae anakuja mtu kukuambia rais ametoa hela na wewe unapaswa kumuomba akusaidie, yaani pesa yako unapewa msaada na rais! Elimu elimu