Computer scientist & freelancer👨💻 Car enthusiast and petrolhead🚗🔧 Dedicated to taking on leadership roles🤝 “A man gets what he earns, when he earns it.”
@NgowiZacha49059@killo_killo11@AlexSamoja Kwenye kazi zao, physical fitness na utii ni muhimu Zaidi kuliko C ya mathematics.
Wapo Watoaji wa amri ambao mpaka “A” wanazo.
Kuna boss wangu yeye ni manager kwenye kampuni flani ya wachina, kwenye marketing and sales wanatumia gari 5 ndogo kusambaza bidhaa
Gari moja inatumia sichini ya 50k/Day ya mafuta kufanya mizunguko.
Tajiri alinipata kupitia humu humu X, akanichek, tukashauriana gesi itamsaidi...
@MkulimaKante Kweli kabisa, Mimi pia nina mwanagu alifeli form 4 akawa boda tu kitaa kuna wachina akakutana nao wakampa kazi kama dereva wao…after few months wakawa wanampa test za kumpima uaminifu wake bila yeye kujua kwa bahati nzuri jamaa akapass izo test