@mrnobodyQ7@Erdeny_ 😂😂kumbe unageuka wewe badala ya soko
Nimegeuza sana simu ili price irud kwenye entry
Na ukitaka kujua maombi huwa hayafanyi kazi basi anza forex
@mreno255 Mm naamini AI ilikuwepo kitambo sema tu walikuwa wanatumia wao,Kama wameiachia AI public basi washatengeneza kitu kingine kabisa wanachotumia saiv tofauti na AI.(mtazamo wangu )