KILIMO CHA MAHINDI🌽
📍Songea, Ruvuma 🇹🇿
Kilimo cha mahindi ni mojawapo ya kilimo cha uhakika sana hapa Songea. Sababu mojawapo inayofanya kiwe cha uhakika ni hali nzuri ya hewa inayochagiza ukuaji wake, kwani mvua zimekuwa zikinyesha vizuri, hasa msimu wa upandaji mahindi (1/7)
🇹🇿 Mtu aliyekuwa analipwa TSh 5,000,000 mwezi Desemba 2025 na bado analipwa TSh 5,000,000 leo (1 Juni 2026) amepunguziwa mshahara.
Kimya kimya.
Desemba 2025: 1 USD = 2466 TSH
TSh 5,000,000 = ~$2,028
Leo, June 1 2026: 1 USD = 2610 TSH
TSh 5,000,000 = ~$1,915
Ili ubaki na thamani ile ile ya mshahara wa Desemba, leo ungehitaji kulipwa karibu TSh 5,294,320.
Maana yake umepoteza karibu:
❌ TSh 294,320 kila mwezi
❌ TSh 3.5 milioni kwa mwaka
Bila kupunguza mshahara wako.
Bila kubadilisha kazi.
Ndiyo maana watu wengi duniani kwenye nchi mbali mbali wanaanza kuhifadhi sehemu ya akiba yao kwenye USD na stablecoins. - Yaani USDC AU USDT.
Sio kwa sababu wanapenda usd.
Ni kwa sababu hawataki pesa zao zipungue thamani.
Mimi naona kuna fursa kusaidia watu kununua tbills / UTT au public market stocks Tanzania ili waweze kupunguza hasara.
Iko hivi…….
Umri unaenda pengine hata uzee unakaribia…..but kuna ndoto na goals haujazi-accomplish.
Wakati umri unavyozidi kukua ndivyo maradhi nayo yanazidi kukunyemelea, changamoto zinazidi kuwa nyingi na kubwa!!
Majukumu yanazidi, family issues, kids, ndoa/mahusiano, na unakuwa financially unstable.
The course ambayo ume-stick nayo kwa muda mrefu haijakupa matokeo yoyote, sana sana imekuletea changamoto zaidi na kukukosesha opportunities!!
HAPA SASA NDIO MTU ANAFIKIA MAAMUZI YA KUUZA SOUL!!
LIWALO NA LIWE POTELEA PWETE!
Very few of us….ndio tunaweza kushikilia bomba mpaka mwisho!!
No matter how tough the situation is!
Sio rahisi sana, wengi wanashindwa njiani katikati ya safari!
So far tumeshawapoteza wengi katikati ya hii safari….tuwaombee wanaoendelea kushikilia bomba Mungu awape imani na ustahimilivu!
Nipo kwenye kipindi ambacho REPOST yako 1 tu inaweza kuokoa maisha yangu mpaka nikashangaa please do not skip REPOST 🙏🏽.
Urban Chill Music T8 2nd GENERATION
TZS 220,000/=
Call/Whatsapp 0716006808
“KATI YA RISASI NA MIUJIZA: Simulizi ya Profesa Dr Mpoki na Kupona kwa Tundu Lissu"
Na Emily Mwakilembe
Kwa Tundu Lissu, Prof. Mpoki Ulisubisya ni kama Musa aliyeshuhudia mkono wa Mungu ukiwakomboa Waisraeli kutoka utumwani Misri.
Naam!👇
Maisha ya sasa hakikisha Elimu yako isikupe KIBURI na MAJIVUNO.
Aliyebeba HATMA ya Maisha yako yawezekana ni Office Attendant!
KUSUDI la Maisha yako ndio limebeba HATMA yako. Na HATMA yako hupitia kwa WATU.
Heshimu Kila mtu bila kujali nafasi yake. Hujui ni nani KWAKO.
Ukiitazama ile video ya ajali ya wale jamaa wa Mark X, kitu cha kwanza utakachogundua ni kwamba wale waliokuwa wanarekodi kutoka gari jingine walikuwa kwenye full vibe.
Kuimba, kucheza, wakifurahia time, hadi unasikia “Bonge la dadaa…” ikiimbwa kwa mood safi kabisa.
Lakini ghafla… zikasikika kelele za “Subhanallah!” nyingi, zikakata ile furaha yote kwa sekunde.
Muziki ukageuka ukimya, vibes zikabadilika, na hewa ikawa nzito kuliko ilivyokuwa sekunde tano kabla.
Na hapo ndipo somo linapoanzia…
Maisha hayana formula.Leo unaweza kucheka, kesho unaweza kulia.
Leo unaweza kupost story uki-smile, kesho familia yako inaweza kuwa inakutafuta hospitalini.
Furaha haitoi guarantee ya usalama, na huzuni haimaanishi ndiyo mwisho wa safari.
Kifo na hatari havipigi hodi na dakika zijazo, hakuna aliye nazo mfukoni.
La muhimu zaidi, binadamu tunasahau Sana..
Tunamsahau Mungu tukiwa kwenye mwendo wa maisha, kwenye starehe, kwenye harakati zetu za kila siku.
Lakini tukipatwa na jambo au tukijikuta kwenye hatari ndipo tunakumbuka kuwa hatuna nguvu yoyote bila Yeye.
Mungu wetu atusamehe sana.
Atupe uwezo wa kumkumbuka mara zote, katika mema na mabaya, katika furaha na huzuni, si wakati wa matatizo pekee.
Maisha ni safari fupi.
Neema ya Mungu ndiyo inalinda kila hatua.
Amen 🙏🏻
Uanaume haulindwi kwa ubabe.
Uanaume haulindwi kwa kutokukiri makosa.
Uanaume haulindwi kwa kushindana.
Uanaume haulindwi kwa kutokuonesha hisia.
Uanaume haulindwi kwa kujua kila kitu.
Uanaume haulindwi kwa kutokuomba msaada.
Uanaume haulindwi kwa usiri.
Uanaume haulindwi kwa kutelekeza familia.
Uanaume haulindwi kwa udanganyifu.
Uanaume haulindwi kwa kukosa uaminifu.
Uanaume haulindwi kwa wingi wa michepuko.
Uanaume haulindwi kwa kuwa MKAMILIFU.
#MaadhimishoUanaume
Uwezo wa kutunza faragha ya maisha binafsi unaepusha mengi. Si watu wengi wanahitaji kujua unachotarajia, unachopanga, aibu unazopambana nazo, fedheha unazopitia kilichotokea, ulichofanikiwa, unachofurahia, mitihani unayopitia, machozi yanayokutesa, na kadhalika.
Ikiwa anayesikia jambo lako hana chochote anachoweza kufanya kwa hilo unalomwambia, huenda unasema kuliko unachohitaji kusema. Ikiwa anayeusikia ushuhuda wako ataishia kunyong’onyea, atakuona unajivuna, huenda unahitaji kutafakari zaidi ulazima wa kumshirikisha kilichotokea na/au namna ya kukisema.
Kuna vitu ili uvifanye, uvitetee au basi ujifanye kama havikugusi kwa vile unaendelea na shughuli zako kama kawaida lazima kwanza dhamira yako iwe imekufa.
Pale SAUT-Mtwara, kuna faza mmoja aliitwa Faza Mbano, alikuwa akifundisha Course inaitwa Fundamental Ethics,
Jambo moja nakumbuka kuishi nalo hadi leo na limekuwa msaada kwenye maisha yangu, kuna module inaitwa CONSCIENCE (Dhamiri), Alidai, Dhamiri ni MHAKAMA kuu ya mwisho duniani.
Dhamiri haipokei rushwa na haitoi rushwa, ni kipimo cha mwisho cha maadili na ukweli.
Kama wewe ni mshenzi lakini wasiojua wanakuona mwema, basi Dhamiri comes In na inakwambia black and while kwamba wewe ni MSHENZI, 😀🙌
Na kama wewe ni MWEMA kabisa na huna hatia lakini watu wanakupakaza mabaya, Dhamiri comes In na inakwambia kabisa kwamba wewe ni mtu MWEMA.
Faza Mbano alisema, “Dhamiri hukushangilia pale wengine wote wanapokuwa kinyume, lakini Dhamiri hukutukana pale wengine wote wanapokushangilia kwa sababu Dhamiri ndiyo hakimu wa kweli kwenye maisha ya wanadamu”
Lakini Ogopa kabisa mtu ambaye dhamiri yake ni mfu alimaliza Faza Mbano.
Kuna wakati ofisini kwangu palikauka, hapakuwa na MAUZO mwezi mzima.
Hali ilikuwa tete, bills zikanielemea sana na wasaidizi tarehe zao zilifika kuwalipa
Niliporudi kumuuliza Mungu nifanyaje ktk hili, akanipa maelekezo ikiwapo ya kusimamisha huduma kwa mwezi mzima ujao
Uzi👇🏾