@PresenterNoah@iboysean Kweny timing Kaka upo vizur wakati anahamasisha kutenda wema wew umemkumbusha aubaya alioufany dhidi yako na ameshindwa ata kujitetea nahisi anajuta kuingia x leo
@fumbokhanJr Kabda ya mechi ohh tamasha limemezwa na kibegi oh tamasha limemezwa na uajili wa Luis lakin kufika sa 3 akuna kibegi akuna jezi mpya awal akuna Luis kimy
@moodewji Sahii iyo na kaza yako kwa maslai yako naamin kila mkulima ni wakwanza kufika shamban kwake na wamwisho kuondoka ... Unatak mtu uliomwajil kweny ofis yako aje kazin sa 11 asubh na kuondoka sa 1 usiku?
@hancymachemba@Yassin_Jiwe Ah Wap tunasajil wachezaj wa Bei ndogo alafu tunasema usajil kamali yanbunamsajl kambole na sawa dog ambao awajacjeza miaka miwil unategemea wawe wazuli no Lin temesajil mchezaj anaecheza kweny first 11 ya timu kubwa na yenye hadhi Zaid ya Tim za kaiakoo na uyo mchezaj akafel?