@Moker___ Kwanini mnatumia video ya zamani ya Mange mkimtuhumu kaua?
I think she's sad, and hiyo inatakiwa kufahamika, you guys mnaocomment hapa mnatakiwa kumwomba Mungu hekima, mjue cha kuzungumza, Tanzania ipone.
Hata wanaowaamini wanawachukia kwa kuendelea kueneza chuki
@Wakazi Wabongo wote wanaoshadadia humu hata hawajui kutumia akili kufikiria hivi vitu.
Wao wanajua kutumia akili kupiga kelele tu.
Anachoongea babalevo kwenye video ni tofauti na wanachoongea maofisa wa airport, ila wabongo kama kawaida akili hamna
@lil_dee06 Tattoos zilikuwepo enzi na enzi, hazikuwa kuziba makovu. Ilianza utamaduni wa kujichora ngozi enzi na enzi.
Baadae kizazi hiki, kikaboresha tattoos, na baadhi wakaboresha kutumia kupumbaza makovu waliyokuwa nayo.
Tattoo haiondoi na si kwa ajili ya kovu. Watu hawajikubali tu.
@Wagara_Olal @chacha_heche@Jambotv_@mchengerwa_m Ukiangalia kwa akili kubwa mwenyewe ndo unajifisadi. Umesoma lakini huna uwezo wa kufikiri ipasavyo, una uhuru lakini hauhutumii kufikiri. Then you blame a decedent? Shame!
@thomasjkibwana I see! Ukiwa mwanasiasa au chembe ya siasa utataka tu utumie maneno ya mtu kwa faida yako.
Hakuna mahali Mabeyo kaonyesha uwalakini wala tatizo.
Lakini mnavyoichambua kimbeambea utadhani kuna jambo kuuubwa!
Ati ukisikiliza mahojiano, kulikuwa na mahojiano yapi?