Msigwa anaulizwa ikiwa kama picha za miili ya watu zilizotumiwa na CNN ni za kweli au sio za kweli. Anajibu bado hazijathibitishwa. Miezi 3 hawawezi kuthibitisha na kujua idadi ya watu waliouawa. Lakini waliweza kuhesabu kura 32M tena bila mtandao wowote. Hawa binadamu
‼️🚨SIGNS OF DIGITAL BLACKOUT IN TANZANIA‼️
This is a red flag 🚩
Banks are notifying their clients that transaction and payment systems will be “under maintenance” from Dec 06 to 08
Then Dec 09 is a public holiday so earliest will be Dec 10
@SuluhuSamia is ready to collapse the whole economy just to cling illegally to power
But this is also a way to prepare for a digital blackout and another mass killing like in Oct
So tell the authorities to #KeepItOn
Cc @OHCHR_EARO @hrw@AmnestyEARO@UNHumanRights@StateDRL@Europarl_EN@FCDOHumanRights
Sasa maboresho haya ya mfumo mmeamua kufanya kabla ya tarehe 9 ili watu washindwe kufanya malipo yoyote?? Ni akili gani hizi mnaua uchumi kwa hofu zenu! Eniwei #D9Tunatoka
DODOMA: Aliyekuwa mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Dkt. Godfrey Malisa, amesema Mahakama Kuu ya Dodoma imekubali kuwa shauri lake lina mashiko na linastahili kusikilizwa. Ameeleza kuwa mahakama imewapa walalamikiwa muda wa siku saba kuwasilisha majibu yao kabla ya kesi hiyo kutajwa tena Agosti 14, 2025.
Kesi hiyo ya Kikatiba, ambayo ilifunguliwa na Dkt. Malisa, ilisikilizwa kwa mara ya kwanza Agosti 5, 2025 na kwa mujibu wa Malisa, Hakimu anayesimamia shauri hilo amebainisha kuwa kuna hoja za msingi zinazohitaji kuamuliwa Mahakamani.
Shauri hilo linaomba tafsiri na uamuzi kuhusu uhalali wa mchakato uliotumika kumpata mgombea wa Urais kupitia CCM, Rais Samia Suluhu Hassan, pamoja na mgombea mwenza wake, Dkt. Emmanuel Nchimbi.
Soma zaidi https://t.co/9PzSyt8Zgg
#JamiiAfrica #JamiiForums #Siasa #Demokrasia #UchaguziMkuu2025 #Governance
Ila bado unaiongelea 😁ina maana Chadema ndo ina mvuto 🤣🤣
Uzuri ni kwamba hamuelewi kuwa kinachofanywa kwa sasa ni coalition ya wapenda haki wote ukiona kuna wanaCCM, wanaharakati na wanaChadema wanaongea lugha moja ya kudai MABADILIKO ya Mfumo na si uroho wa madaraka mjue muda umefika!
Na #TutaelewanaTu
🔥 LAWSUIT AGAINST CCM IS FIRMING UP NICELY‼️
Pastor Dr Godfrey Malisa has sued CCM in court and after preliminary hearing with the panel of judges, @ccm_tanzania has been given not more than 7 days to respond after the judges ruled that there is merit to Dr Malisa’s case!
Ngoja tuone kama mahakama bado ina majaji wanaojitambua! Maana tulishaambiwa na mwanamtandao Rostam kuwa wanapigiwa simu majaji!
Sisi tunawaombea Mungu awaongoze kwa utashi wao waache kuogopa msukumo wa madhulmat waovu!
Nasema #TutaelewanaTu
Unabii utatimia hakuna namna @SuluhuSamia utapona
#NoReformsNoElection