Jifunze kusimama mwenyewe bila kushikiliwa na mtu, watu hupotea na vitu huharibika. Stand at your own and fight your battle Alone people are very disappointing. #fikirazangu#amkamwanangu
Where is that mistake, the problem is, we are blinded with the capitalist history writers, Queen Elizabeth II ruled for how long bro? There is problem with ruling for long time if everything is satisfied. Under ceteris Paribas Muammar Gaddafi was among the best African leaders
Wapo watu wetu ambao hutamani kuona mafanikio yetu na hujitahidi kupambania njia zetu ziwe safi ilihali hawategemei chochote kutoka kwako, tena wala sio wazazi wako Ila nilichogundua wanatupenda sana watu hawa. Mungu awape pumzi ya afya na mafanikio katika kazi zenu. @millardayo